Kuhusu NMB

Siman

New Member
Apr 26, 2011
3
1
Wanabodi nimekuwa nikiwasoma ktk janvi hili nikiwa nje ya wa uwanja, kwanza nawaomba mnisamehe kwa thread yangu ya kwanza kwa kuunza na swala la kutaka msaada.

Ombi langu kuu, ni kunifahamisha tu kiwango cha mshahara NMB, kwa fani ya IT nikiwa na masters, na kauzoefu ka mwaka 1-3. Najiaanda kwenda kwenye usaili naogopa kuvurunda. Asanteni na nakaribisha mwenye habari zaidi.
 
Labda kama kuna wana JF wanaofanya kazi NMB watakusaidia detail, lakini ushauri wangu ni kuwa kwa vile NMB ni shirika kubwa na wanauwezo wa kukupa kiwango chochote kama kweli wanakuhitaji, we angalia soko la fani yako kwa sasa, mi nashauri aanza kukomaa kwa TZS 2.5 M.
Lakini mkuu Simian, ku-negotiate mshahara na kupata kiwango kizuri kunategemea factor nyingi, kwa mfano, reputation ya kampuni unayotoka sasa, majukumu au cheo ulichonacho ktk kazi ya sasa, uzoefu n.k. kama hauna kazi/jobless inakuwa kama unaomba msaada wa kukwamuliwa, kwa hiyo wao wanakuwa na nguvu zaidi.
 
Mkuu kwani tatizo liko wapi?
Kwa level ya digrii ya uzamili nategemea ni mtu aliyeiva hata kwenye usaili unatakiwa kujua what do you expect of the job to bring you, your negotiating skills should lead you. Swala la mshahara ni jinsi gani ume-research kuhusu sector yako ya specialization. Anyway, labda kwa kesi hii mtu ambaye ameunganisha bachelor na masters moja kwa moja bila kufanya kazi kwanza. Lakini kama tayari una uzoefu wa 1-3 yrs, aah, com on man!
 
Kaka/dada
Ni kweli unayongea lakini pia lazima ufahamu si wote wamesoma Tanzania ama kufanya kazi Tanzania. Swala la mshahara linatemeana na nchi. Nami ndo nipo ktk research angalau ya kuwa na namba ya makadilio ili nione kama kuna tija. Kifupi, sifanyi kazi Tanzania ninacho fahamu mishahara Tanzania inatemeana sana na kampuni.
 
Kampunii, kidogo si sana. Wakati mwingine nani amekupeleka hapo, damu yako, nk! Bongo ajira hazifuati convetional procedures labda kusiwe na mswahili kwenye top echelons ya kampuni au taasisi! Evidence zipo sana! Best wishes.
 
from what i see and hear nmb wanalipa vizuri zaidi.nimeona watu wanatoka stanbic,std chartered na nbc kuingia nmb (to my surprise). So jaribu kujiweka juu kidogo than banks zingine.all the best:A S 39:
 
Ni kweli Mkuu,Jamaa wanalipa Vizuri,nina rafiki yangu ni Agent katika Call Centre yao na sio graduate na ana take home 800000 na ushee acha benefit in kind!
Hapo sasa tumia Utashi wako!!
 
ongera kwa kuitwa kaka, inabidi utueleze uliomba post gani? kama officer,manager au chif.
 
nivizur kijana kuuliza ili ujue utaanza kunegotiate nao vp jamaa wanalipa vizur sana hongera ka komae nao kwa IT kama umesoma nnje jpange fresh tu ajira unachukua hyo...ila kbongo bongo skuhzi sio unajua nini bali unamjua nani.best wshez
 
ungetuambia position unayo apply watu wangekupa ushauri zaidi
unajua kazi unayo apply haijatangaazwa kwa hiyo na kushauri umbane huyo jamaa aliyekuunganishia atakuambia mshahara ni kiasi gani

position unayo apply, experince yako na kujuana ndio vitakavyo determine mshahara wako
 
Wanabodi nimekuwa nikiwasoma ktk janvi hili nikiwa nje ya wa uwanja, kwanza nawaomba mnisamehe kwa thread yangu ya kwanza kwa kuunza na swala la kutaka msaada.

Ombi langu kuu, ni kunifahamisha tu kiwango cha mshahara NMB, kwa fani ya IT nikiwa na masters, na kauzoefu ka mwaka 1-3. Najiaanda kwenda kwenye usaili naogopa kuvurunda. Asanteni na nakaribisha mwenye habari zaidi.
IT is broad mkuu...sijui ni IT ipi? kama ni fundi hardware basi utapata salary hiyo hata kama una PhD.....if ni sehemu sensitive kama Database hapo u can talk.....anyway majuzi wametangaza nafasi ya ORACLE DBA HAPO NMB....je una OCP? masters doesnt matter arifu
 
Ni kweli Mkuu,Jamaa wanalipa Vizuri,nina rafiki yangu ni Agent katika Call Centre yao na sio graduate na ana take home 800000 na ushee acha benefit in kind!
Hapo sasa tumia Utashi wako!!

Ni NMB hii hii ambayo niliwahi kufanya kazi kama Customer Service Officer 3 years ago( with 4.5 years work experience, na graduate) na kulipwa sh.509,000 (basic) au nyingine?!!
 
Nadhani hapa jamvini watu wawe makini maana kama mtu hajaona salary slip tutazidi kujadili maada isiyo na agenda. Kuna watu ni wazuri tu katika kupika mambo maaana hata makampuni ya simu waliyasifia hivyo hivyo na watu wamejaribu wakaona ni heri warudi kwenye makampuni yasiyo na majina. Usipende kukimbilia mlio maana mbele kuna kilio. Kuwa makini sana na hadithi za watu
 
Back
Top Bottom