Search results

  1. Queen Kyusa

    Nauza kiwanja

    Nauza kiwanja Mwanza maeneo ya furaha English medium school. Prime area. Bei milioni 12 ukubwa picha inajieleza
  2. Queen Kyusa

    Je kuna umuhimu wa kukumbushia penzi la zamani?

    Jamani wasalam wanajamvi mm huwa najiuliza sana kuhusu watu kuwa na kasumba ya kukumbushia penzi kwa mtu aliyeachana naye muda mrefu na kila mtu akaenda kwenye njia zake nyingine labda mwanaume kaoa au mwanamke kaolewa lakini utashangaa mwanaume akikutana na huyo mpenzi wake wa zamani anataka...
  3. Queen Kyusa

    Wenyewe mpooooo?

    Habari zenu wana jamvi? naomba kukaribia nipate pumziko la kifikra maaana huko nilipo toka ni majungu, fitna, unafki, uzandiki...... du na kila kitu! Naamini hapa nitabwaga moyo, au nimekosea wapendwa?? Twende pamoja!!!!!
Back
Top Bottom