Nimekuandalia mbinu 20 za namna bora ya kuandika habari za mabadiliko ya tabianchi. Mbinu hizi zimetokana na maoni yangu binafsi ambayo yamepitiwa na Mhariri wa jarida la Mtandaoni la Indian Ocean na Mchambuzi wa mambo ya mazingira katika ukanda wa bahari nchini Kenya, Wanjohi Kabukuru, naamini...
Nahitaji kujua mambo matatu waungwana
1. Upatikanaji wa mbegu za bata mzinga, pengine bata mzinga ambaye anaweza kutaga au vifaranga. 2. Chakula chake ni kama cha kuku wa kawaida au?
3. Banda la kufugia ni kama la kuku tu au likoje?
Habari zilizotufikia punde zinaeleza kuwa kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wa daladala kwenye Manispaa ya Morogoro. Mgomo huo utazihusisha daladala za maeneo yote ya manispaa ya Morogoro jambo ambalo litapelekea kuwepo kwa shida kubwa ya usafiri mjini hapa.
Sababu za kufanya mgomo huo...
Mwaka huu umeanza kwa aina yake kwa serikali ya Tanzania, vyombo vya habari wa mataifa ya nje ambavyo ndio hasa vimekuwa vikiaminiwa na viongozi wetu wengi kwa kuvipa ushirikiano mkubwa vinapohitaji ufafanuzi wa mambo fulani na kuvipuuza vyombo vya nyumbani na waandishi wake.
Sasa...
TAHADHARI:
1. UPEPO MKALI NA MAWIBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
2. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO RUVUMA, LINDI, MTWARA MOROGORO KUSINI, SINGIDA NA TABORA.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
UTABIRI WA...
Tunapokaribisha mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka huu.
Basi katika swala la mavazi na viambatana vyake nimeona ni vyema kushare nawe viatu vya...
Nimeupata ujumbe huu mahala nikaona niupitishe na kwenu wanajukwaa
"Wanaotajwa sana kulingana na vyanzo mbalimbali na nukuu katika baadhi ya vyombo vya habari ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya DCP Diwani Athumani,cheo ambacho ametunukiwa hivi karibuni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza...
Novemba 15 mwaka 2013 Shirika la ndege la Auric Air lilianzisha safari mpya za ndege za kila siku kati ya Dar es Salaam na Morogoro ikiwa ni mipango yake ya kuwafikia wananchi wengi katika mikoa mbalimbali Tanzania.
Actually, toka safari hizo zianze sikuwahi kupata nafasi ya kusafiri nao...
Action Music Tanzania (AMTZ) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza desemba 19 mwaka huu, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.
Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala...
Habari ndugu, mimi na mchumba wangu tumedumu kwa miaka 8 sasa, hatukufunga ndoa kwa sababu ya kutaka kutimiza malengo ya kimasomo, mwenzangu amemaliza chuo mwezi wa sita mwaka huu na mimi ndo nimemaliza mwezi uliopita, kinachosubiriwa ni kwenda kulipa mahari ili kufunga ndoa, kwa kuwa nilikuwa...
Mtu mmoja aliefahamika kwa Jina la Nice Mtega fundi mkuu wa Meli ndogo ya mizigo iitwayo MV MERCI II inayomilikiwa na Semuhungu Shingiro anahofiwa kufa maji baada ya kutoweka kwa zaidi ya masaa 36 toka kuzama kwa meli hiyo katika bandari ya Kilwa masoko.
Akiongea na Globu ya Jamii hii...
Tanzania inaorodha ndefu ya vivutio vya utalii ambavyo vinasimamiwa kikamilifu na Shirika la Hifadhi za Taifa la Tanzania (TANAPA) lakini kuna ambazo zinafaa kutembelewa wakati huu wa sikuu kuu ambazo ni pamoja na hifadhi ya Taifa ya Arusha, Katavi, Mikumi, Manyara, Ruaha, Rubondo, Serengeti...
Ninajiandaa kwenda zangu mkoani Tanga kujifunza mambo kadhaa juu ya utamaduni na ngoma ya baikoko, maana kupitia mitandao mbalimbali nimeona video na simulizi nyingi kuhusu ngoma hiyo ambayo naambiwa ukienda kuitazama ukitoka salama ni jambo la kushukuru.
Nimeangalia video yao ambayo nimeweka...
Kwenye simulizi za zamani tulikuwa tukiambiwa..wanyama wakaishi kwa raha mstarehe, sasa ndo kilichojili huko Monduli. Pengine hatujawahi kufikiria kama kuna huyu mnyama anayeitwa Twiga kuwa anauwezo mkubwa wa kuogelea.
Kwa umakini mtazame Twiga huyu Picha: Twiga akiogelea kwenye swimming pool...
Kampuni moja ya Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli Freedom Ship, itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu cha kuifanya iwe jiji linaloelea kwenye maji.
Wabunifu wa dhana ya meli hiyo wametoa picha za computer za kile wanachoamini meli hiyo itakavyokuwa pindi itakapokamilika...
Ngiri ni Mnyamapori mtukutu huwasumbua wakulima wa mihogo na viazi vitamu hivyo hulazimika kuwindwa lakini huweza kukimbia kwa kasi kati ya kilometa 48 kwa saa kwa urefu wa mita 200 mwendo ambao ni wa kasi zaidi kuliko wanariadha yeyote duniani.
Ngiri ana pua kubwa,macho madogo na mkia mdogo...
Mabasi
Dar -Iringa
Ordinary Bus Tsh18300, Semi Luxury Bus Tsh26300, Luxury Bus Tsh28900.
Ordinary Bus Tsh21500, Semi Luxury Bus Tsh29700, Luxury Bus Tsh32600.
Ordinary Bus Tsh22700, Semi Luxury Bus Tsh32800, Luxury Bus Tsh36000.
Dar -Babati
Ordinary Bus Tsh29000, Semi Luxury Bus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.