ukiwa na mawazo kama shibuda ni sawa na kuambiwa una mtindio wa ubongo. yeye bado wa ccm siku zote kuja cdm ni unafiki wa mawazo yake. ila sijui elimu yake lakini ILLISH anasema unaposoma ndipo unakuwa mjiga na unapotibiwa ndo unaugua zaidi, hii yote hatuoni mchango wa wasomi wanaojiita...
Sasa imefika wakati ambao hakuna tofauti ya degree na certificate, leaving certificate hasa tukiangalia kudhalilishwa kwa wanafunzi udom. wazee wameanikwa kama mishikaki juani siku 2 nzima. wanachokidai ni haki zao kabisa.
Hu ndo mwanzo tu tutaja uwana tu sababu ni
BORA VITA INAYODAI HAKI KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA WATU Ni mwendo wa kininja kumkaba mmoja mmoja hadi wapungue. Mara walifanya makosa kuchagua sabab jamaa ni fundi wa kudesa kuanzia academic na ndo chanzo cha watoto wetu kufeli pia hata huko bungeni...
WADAU
Mtu anayeishi kimjini mjini mara zote ni mtu asiyestahiri katika eneo husika. mfano, mbunge aliyeishia darasa la pili na nusu hasitahiri kuwepo bungeni maana hataweza kuusoma mswada wa katiba ulioandikwa kwa lugha ya kiingeleza tena lugha ya kisheria. Rz one kauhakikishia umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.