Search results

  1. ajent45

    Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

    Habari za jioni, Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
  2. ajent45

    Airtel wameniibia kamisheni yangu ya mwezi wa nane

    Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu kuna wateja wengi wa mtandao huu. Pia, nina laini za lipa kwa simu kwa mitandao ya Voda, Tigo, na...
  3. ajent45

    Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  4. ajent45

    Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
  5. ajent45

    Wakuu naomba msaada, nahisi nimemsababishia matatizo huyu denti

    Habari za muda huu wadau!!! Aisee kuna denti mmoja baada ya kumaliza kidato cha nne kaja kukaa hapa home kwa ndugu yake ambaye ni mpangaji katika nyumba tunayoishi. Sasa katika kuzoeana siku nikakapiga sound kakakubali lakini kakaniambia kuwa ni bikra na hajawahi kukutana na mwanaume...
  6. ajent45

    Hakika tabia za baadhi ya wanawake kwenye sherehe huchukiza sana

    Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili ukipita unakuta wanafanya vitu vya ajabu sana aisee inachukiza mno Hivi hawa huwa wanalipwa?, wanakodiwa...
  7. ajent45

    Aisee kuna mambo mengi sio sifa njema aisee tujitathimini

    Habari zenu wadau, kuna jamaa mmoja huko zimbabwe anaitwa Tafadzwa Fichani amejisifu kuwa amekwisha kulala na wanawake zaidi ya 1000 hadi sasa Huyu jamaa anajihusisha na biashara ya kuuza madini katika eneo la Zenda huko Zimbabwe kutokana na biashara yake amekuwa akiwatumia wanawake kama...
Back
Top Bottom