Search results

  1. L

    CCM acheni uzushi, hebu tutajieni wakina nani walipinga ununuzi wa ndege na sasa ndo wa kwanza kupanda...

    imekua desturi sasa kila kiongozi wa ccm kuanzia boss wao akipata nafas ya kuongea lazima awanange na kuwasimanga wote waliokosoa utaratibu wa manunuz ya ndege kua eti walipinga kununua lkn sas ndo wa kwanza kuzipanda ccm kumbukeni hizo ndege zimenunuliwa kwa pesa ya watanzania wote wala si pesa...
  2. L

    Angalieni kituko kingine TBC live Mzee Mkinga anamtetea Bashite

    Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña makontena ya makonda tu śo watu wakafikiri ni ya bashite
  3. L

    Msaada anaemfahamu Teacher "Allen"

    Wanabodi toka jana na wk hii yote vituo mbalimbali vya radio na Tv vimekua vikimfanyia interview huyu jamaa anajiita teacher allen baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "wachakumbimbi" ambae ni inasemekana ni mwl bora wa lugha na pia ni lecture wa chuo kimoja hapo dar pia anasema yeye ndo hua...
  4. L

    Kwan TBC si local channel?

    Wanabodi baada ya kuzuka utata kwenye hivi vingamuzi kuhusu FTA tumeona channel nyingi za local zimeondolewa kwenye Azam,Zuku nk lkn hili li Tbc lipo halijaondolewa kuna exempt gani inayoifanya iwepo?Azam wameondoa zote kasoro TBC
  5. L

    Maprofesa walioalikwa TBC leo asubuhi mlikuja kumsifu Magufuli tu au?

    Kwa kweli nilichokiona leo kwenye kipindi cha tbc ambapo maprofesa 3 mmoja toka sua mwanamama na wababa 2 toka udsm daaah mmenifanya nijiulize ni kweli mlikuwa mnatumia elimu yenu kichwani au? Muda wote kila sentensi moja lazima mumtaje magufuli kwa kusifu na yule mtangazaji mzee wa tbc sijui...
  6. L

    Rais Magufuli: Nitastaafu muda wangu ukiisha, sina mpango wa kuongeza hata dakika moja

    Mh Rais Magufuli amesema ktk hafla ya kuzindua taasisi ya Jakaya Kikwete hana mpango wa kuongeza muda na atastaafu haraka muda wake kwa mujibu wa Katiba ukifika kikomo,na kaomba wastaafu wenzake wampokee vizuri. Mwaka 2020: Dkt. Magufuli amesisitiza hivi > Uchaguzi 2020 - Dkt. Magufuli...
  7. L

    Na hili nalo linasubiri Rais aseme? Kunyanyasa wenye maduka siku ya Jumamosi

    Kwa kweli tumekua watu wa ajabu sana ,viongozi wote tumemuachia magufuli afikiri juu yetu Kuna utaratibu wa ajabu Sana kuwa siku ya jumamosi utakuta maduka asubuhi yamefungwa mpaka saa nne eti sababu ni usafi na ukifungua unakamatwa faini 50000, Kwanini serikali isiwaruhusu watu wafungue then...
  8. L

    Shibuda adhalilishwa na Hamidu Shaka kwenye upigaji picha na Rais

    Wanabodi,kwa kweli Jana nimejisikia vibaya sana pale kwenye tukio la upigaji picha na mh Rais kwenye uzinduzi wa ujenzi wa reli ya umeme,tukio la kusikitisha ni pale walipoitwa viongozi wa vyama vya siasa,Shibuda ndio alikuwa wa kwanza kufika na akasimama nyuma ya kiti cha Rais Magufuli baadae...
  9. L

    Hussein Bashe alaani shambulio la Lissu, asema TISS itazamwe upya

    Ameyasema leo asubuhi kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa live na clouds TV. Amesema kitendo cha kupigwa Lissu risasi ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea kwa mbunge kushambuliwa na hilo tukio ni la kulaaniwa. Amesema anaungana na Nape kuhusu TISS itazamwe upya anasema...
  10. L

    Diamond Jubilee: Taarifa ya Wanasheria kwa RC Makonda kuhusu Masuala ya Ardhi

    Fuatilia LIVE kinachojiri kwenye mkutano huo jijini Dar.. ----- Updates.. Wakati wakuu wa idara za ardhi katika wilaya ya mkoa wa Dar wakijibu maswali ya mkuu wa mkoa, mmoja amepoteza fahamu na kuanguka chini. Jerry Murro alikuwa nyuma yao sina hakika kama amewahi kumdaka.. Hata hivyo...
  11. L

    Clouds TV, leo mmeamua kutuletea Mh Msukuma kwenye kipindi chenu cha power breakfast ili kumtukana Lowassa?

    Leo clouds naona mmeamua kutuletea vuvuzela la CCM kuja kutuchekesha asubuhi hii huyo mh Msukuma mbunge wa Geita ambaye anajiita msemaji wa CCM na kuna tetesi jamaa kalipia kipindi ili ahojiwe amwage mashudu yake kumchafua Lowassa
  12. L

    TANAPA bado siku 3 deadline ifike ya maombi ya kazi lakini system yenu mbovu

    Tanapa mlitoa nafasi za kazi na mkasema watu watume maombi online,lkn cha kushangaza hio system yenu sio user friend kabisa inakuambia unconfirm email ila ukienda inbox pale wanaposema click to activate ukiclick hakuna kitu kinachotokea matokeo yake huwez kutuma maombi ,tunaomba hizi siku 3...
  13. L

    Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

    Wanabodi na wakuu, nimepata mshtuko mkubwa sana kwa wiki moja hii baada ya xmas kumekuwa na ukimya sana wa kada maarufu wa CCM mkuu stroke na baadhi ya UVCCM wenzake humu jukwaani Naomba mwenye taarifa zao atujuze nini kimewapata member wenzetu, huu ukimya si kawaida yao kabisa.
  14. L

    Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

    ni vijana mapacha wawili wa kitanzania wana miaka 25 na wanachukua PhD huko Harvard university
  15. L

    ,Mrejesho:asanteni sana jamiiforum tatzo la ku certified vyeti nimepata ufumbuzi

    wakuu nilikuja hapa kulalamika cost kubwa nayopewa na mawakili wakati was Ku verified vyeti ambako nilikua nachajiwa 5000@ cheti,so kila nilipokua natuma application ilibidi 30000+ initoke ,lkn member humu walinishauri niende mahakama za wilaya au mkoa huko kuna cheap cost ,na kweli leo hapa...
  16. L

    vijana wanachuo was vyuo vya dodoma wapelekwa kwenye mkutano mkuu wa ccm kupewa kadi za ccm

    wanafunzi wa vyuo vingi Leo wamepelekwa kwenye mkutano wa ccm kupewa kadi za ccm,imebidi baadhi ya vyuo masomo yahairishwe mfano hiki Chuo cha DECA ambae mkuu wake ni kada mtiifu wa ccm ndo kimeathirika baada kupeleka vijana wengi kupewa kadi ,nakumbuka ilikatazwa kufanya siasa vyuoni hii imekaaje
  17. L

    Platinum Annex Area C Dodoma,huu wizi hauvumiliki bei ya soda sawa na bia,

    Platinum ni bar ya kawaida sana haifikii hata rosegarden, royal village,capetown, rainbow nk ambako huko kote bei ya soda ni 1000, lkn wao soda ni sh 1500, kwa kweli hata kama vyuma vimekaza hio sio solution ya kuviregeza,naomba vyombo husika vifatilie hizi bar ambazo hazina ubora wa kimataifa...
  18. L

    Takukuru njooni mkamate wamama wa ccm wanatembeza hela hapa waridi lodge makole dodoma

    Kuna wamama wamevaa nguo za ccm wanatembeza pesa hapa warid lodge iliyopo makole karibu na mahakamani naona wanaopokea wengi ni vijana wa kike na wamama mmoja mmoja anaingia chumbani na wapangaji wote tumeondolewa ambao si wanaccm,kwa hali hii inayoonekana mapambano ya rushwa yaimarishwe,
  19. L

    Msaada: Naweza kufika Namibia kwa basi?

    Habari wakuu naomba msaada, Nataka kuanza safari ya kwenda Namibia kwa njia ya basi. Je inawezekana kwanza? Pili niwe na document zipi ili nisisumbuliwe njiani na niandae kiasi gani njiani na wanatumia hela gani huko? Mwisho kazi gani za ovyoovyo naweza kupata fasta na mkoa/jimbo gani kuna...
  20. L

    Msaada hivi udsm kuna faculty ya MD

    Samahanini wana zuoni naomba mnisaidie kujua hv UDSM kuna kozi ya udaktari wa binadamu kama ile inayotolewa muhimbili,kama ipo ,ipo kitivo gani
Back
Top Bottom