Search results

  1. Aqua Man

    Ndoto inayojirudia ya kuokota pesa za sarafu ina maana gani?

    Jamani eeh.. nmeona weng wanasema kuhusu kuokota noti ndio ishara nzuri.. mwezi kama wa tatu kama sio wa nne niliota kuokota hayo manoti tena mengne yalikua yananitoka tu mfukoni ila ukata nilio nao kwny real life acha tu.. sasa which is which hapo
  2. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Sijaona shida ukizingatia ni social media sipo kwny harakati za kutunga kitabu au kuandika mashairi mkuu.. mwandiko wa nini!?
  3. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Si nilisema tunachat na bamkubwa kanituma humu.. nafkr unajionea.. huyo inawezekana tayari ana barua ya kuriport wakat wenzake wanaenda kubanwa kingereza kwny oral😂.. maana hajui hata oral lini
  4. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Sasa hivi mzigo ni hakuna kuingia kwny database😂
  5. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Hao ndio hata usiwaongelee bro.. hii ya juzi walioenda inasemekana kila mtu ana ndugu polisi au takukuru penyewe.. watoto ambao wazazi wetu walikimbia umande kazi tunayo
  6. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Knowledge ya mtaani kwny interview za utumishi inakaa kwa wapi nionyeshe.. bado unahitaji kukariri na kudeliver kama ulivyokua school tu
  7. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Cemented reply
  8. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Mungu ni mwema private zitatuokoa😅
  9. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Nawajua sana na hawajui chochote kuhusu kazi.. mara ya kwanza nilihisi ni mimi tu
  10. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Hongera sana.. atlst enzi za duce mlikua mnafanya interview sio sasa hv mtu hafany written lakn jina unaliona kwny oral
  11. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Meaning of wcf Objective of wcf Elements za wcf comparing na other workers compensation funds universally yani Na lingne nmesahau.. ila hakukua na swali la kufkrisha
  12. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Yes yanakua kama NSSF.. hamna matangazo ya ajira lakn watu wanaajiliwa.. na wote ni wavaa ushungi
  13. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Sijawah pishana na uwezo wangu wa kufikiri.. bachelor yangu ya miaka minne sijawah supp nije kushndwa pepa ya maswali manne yanayouliza maana, objective, elements za taasisi husika!? Tanua fikira mkuu
  14. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Nmegundua naweza kuwa nabishana na wale usije kwny interview barua yako ipo.. au wale mliokua mnajitolea mkapewa pande so mnaogopa interview itafutwa kama ile ya TRA!?
  15. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Akili ndogo sana mkuu.. kwahyo kwasababu wa kwanza kabambikiwa 66 ndio ugumu wa pepa unaonekana hapo!? Pepa ilkua simple.. huwez ulizwa maana ya wcf.. ushnwe.. objectives.. elements.. na kila swali lilikua na 25 marks kwahyo ukose maswali matatu 70 kwny maswali yalioulizwa kama hayo
  16. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Angeleta mwengine ambae hajapita.. umeona nmefeli peke yangu hapo!? Kwahyo almost 2000 individuals wenye uwezo wa kupambanua na kujibu maswali walikua 34 tu!? Akili ndogo sana mkuu
  17. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Yani acha kabisa.. juzi ndugai alichokua anakisema ndio wamekifanya.. nahis wcf walikua na watu zao.. the same thing naskia imetokea kwa hawa wanasheria wa serikali.. madogo waliotoka intake ya kwanza waliambiwa watachukuliwa na wengi wameenda.. sasa transparency iko wapi hapo.. wanashusha hata...
  18. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Inakatisha moyo kaka.. unatumia cost halaf wanakuja na story za ajabu
  19. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Ilikua simple to the fullest mkuu
  20. Aqua Man

    Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

    Sina mengi ila Utumishi kwenye hii Interview ya Compliance Officer mmetuonea. Pepa imepigika Jumamosi, leo matokeo, mchanganuo wa marks hueleweki, watu 33 tu ndio wameitwa oral. Mnatufanya tujiulize uwezo wetu wa kufikiri kama ni mdogo kiasi hiko au vipi!
Back
Top Bottom