Search results

  1. K

    Msaada wa kisheria

    Nawashukuruni sana wote kwa michango yenu, Quinty aksante sana kwa kunipa huu utaratibu wa kisheria naaamini nitaendelea kukisoma hicho kifungu no. 38 zaidi na zaidi nikielewa na nione kitaweza kunisaidiaje. Aksanteni wote. Tise.
  2. K

    Msaada wa kisheria

    Habari wanasheria, Naweza kupata msaada wa 'utaratibu wa kisheria' unaotakiwa kufuatwa pindi mtu anapofanyiwa RETRENCHMENT au Redundancy kazini? Aksanteni, K. Tise.
Back
Top Bottom