Search results

  1. kongomboli

    Rais Putin atembelea mji wa Donbass nchini Ukraine

    yan ushabiki wa Vita utasema mpira 😂😂😂
  2. kongomboli

    Maoni na Mtazamo wa Mwanasheria Alberto Msando kuhusiana na UKUTA

    Mtazamo wa Prof. Jay, Afande Sele na Solo Thang walisema sio lazma wote tuwe wanamuziki. Wengine twaweza kubaki kuwa mashabiki.
  3. kongomboli

    Shule 8 zafungwa Kagera kwa kukosa Chakula, Vipi vipaumbele vya Wanasiasa wetu?

    Bofya Link Hapa chini ujionee TAMBARARE HALISI: Tanzania yaikabidhi malawi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko
  4. kongomboli

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  5. kongomboli

    Itakuwa Vipi CCM ikishindwa uchaguzi 2015 au 2020 ?

    nchi itaingia vitani
  6. kongomboli

    Nape: CHADEMA ndio waliomtuma Lissu kumtukana Mwl.Nyerere

    Safari hii mtajuta kudandia hoja ya katiba wakati haikuwamo katika ilani yenu,ndomana ,mnatokwa povu na kujitia upofu mkidhani mtatuaminisha watz kuwa mwalimu katukanwa.Rekodi zipo sawa na mtajionea wenyewe matokeo ya kuikataa rasimu.Mnaleta hoja za uchochezi kuhusu pemba na unguja mkidhani...
  7. kongomboli

    Lissu na Jussa waining'iniza CCM kwenye kitanzi cha kisiasa!!??

    Wanalitumia jina la mwalimu kama hirizi yao kisiasa wakifikiri bado tupo miaka ya 90.Hata iweje chama tawala kisipojifunza kusema ukweli gharama yake itazidi kuwa kubwa kila uchao
  8. kongomboli

    Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    Celina Kombani na Jaji Werema walisema mapema kabisa kwamba hatuhitaji katiba mpya,hamkusikia,oneni sasa kinachotokea!!!!
  9. kongomboli

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Hata mimi nimepata tabu sana kujua role model wetu wa serikali mbili,cjui ni nani dunia hii? Tusaidiane
  10. kongomboli

    Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

    teh teh teh teh,kaaaazi kweli kweli
  11. kongomboli

    Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

    Nahisi huu uzi uko under 'mirror' sababu kuna vitu naandika afu vinafichwa,mods hebu niambieni kama ni makosa kutaja jina la gazeti humu jf ili nisirudie makosa
  12. kongomboli

    Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

    Mmoja kati ya wamiliki wa baa hiyo iliyokumbwa na masaibu hayo ni Ndg.Angelo Mwoleka,yule mwandishi wa habari wa siku nyingi ambaye kwa sasa anaandika habari za utafiti katika gazeti la "-----".Mengi yatasikika katika hili,tuwe na subira
  13. kongomboli

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Fyuuuuuuu.......ushuzi mtupu,kawadanganyeni wengine co sisi,kiama chenu kimefika safari hii
  14. kongomboli

    Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Naomba hii taarifa ya TBC kukata matangazo baada ya Lissu kuanza kuwasilisha maoni ya wachache iandikwe katika kurasa za mbele za magazeti ya kesho
  15. kongomboli

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    "waliozoea vya haramu,vya halali hawaviwezi,waliozoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi,waliozoea kuishi kwa uongo ukweli hawauwezi" Tundu Lissu. Yaani hotuba ya Lissu imekuwa kama unabii ambao umetimia baada ya dk 2 mbele TBC wakakata matangazo.Huo ndo uharamu wenyewe aliouzungumzia Lissu
Back
Top Bottom