Search results

  1. N

    WaTanzania tukubali kubadilika!!

    Siku za karibuni nimekuwa nikisikia maneno ambayo nilidhani ninafahamu vizuri udogo wake, ajabu ninayoipata ni kukuzwa kwa maneno hayo na kusahau yaliyo makubwa zaidi. Sitaegemea mrengo wowote wa kisiasa na nadhani tukijifunza kushughulika na issues badala ya persons au parties, tutakuwa karibu...
  2. N

    Mambo ambayo CHADEMA na CCM wamefanikiwa.

    Siku kadhaa ziliyopita CCM ilionesha serikali ilikuwa ikiongozwa na Ilani ya Uchaguzi 2010. Na mara nyingi ilikuwa na tabia ya kutoa matamko kwa mfano kupunguza mfumuko wa bei, Nape kutoa maelekezo kwa wakuu wa Idara za Serikali na karibuni kabisa ilikuwa ni kusimamisha watumishi wa idara za...
  3. N

    Tundu Lissu na "Hard facts" and Werema na "Multi-pronged propaganda"

    Kwa mwananchi wa kawaida anayetaka kuelewa "Kero za Muungano" atamwelewa zaidi Tundu Lissu kuliko maelezo ya Werema. Sikusudii kusema nani ni mahiri katika fani ipi, ninataka kuangalia tu ni nani amenifahamisha zaidi kero za muungano kuliko mwingine. Ni wazi kuwa Muungano wa Tanganyika na...
  4. N

    Alama za kukosekana kwa "Uongozi" kutoka kwa JK

    Yeyote anayejiuliza maswali kadhaa kuhusu uongozi katika nchi yetu, haya ni moja ya maswali yatakayomtatiza:1. Je kulikuwa na haja ya Rais kuanza mchakato mpya na vyama vya siasa kuhusu muundo au mchakazo wa kuunda kwa Katiba mpya akiwa Ikulu??2. Je ni sahihi kwa Bunge kama mhimili mwingine wa...
  5. N

    Udhalilishaji wa Urais kama taasisi ni lazima ukome, kama tunaitaka Tanzania inayoendelea!!

    Wengi wamegeuza jambo hili kama la Rais dhini ya CDM. Wengi, hata waliomsifu JK kwa kukutana na CDM, sasa wanailaumu CDM na kusema kuwa JK kapata ushindi. Katika hali ya ukweli, CDM na Rais wameshinda na walioshindwa ni sisi wananchi wa kawaida. CDM imefanikiwa kumwonesha sio Makinda tu, bali...
Back
Top Bottom