Search results

  1. M

    Sina raha

    Kama nikiamua kumuacha kuna haja ya kusikiliza utetezi na visingizio vyake kweli?
  2. M

    Sina raha

    Asante mwaya.Nadhani haikumjia kichwani. Yani namfikiria simmalizi.
  3. M

    Sina raha

    Simu yake haiguswi, labda kama nataka ugomvi wiki nzima. Huyo rafiki hata simtaki tena. Nadhani sina hata haja ya kumjulisha najua, atajua mwenyewe baadae.
  4. M

    Sina raha

    Asante Neema. Kuhusiana nae kimwili siwezi kwakweli,kulala nae tu naona tabu.Ila ntajitahidi nimweleze kwamba najua soon.
  5. M

    Sina raha

    Niambie pakuanzia basi mwenzangu. Timtim asante.
  6. M

    Sina raha

    Asante mwaya. Simu yake ina password, hua hapendi niguse hata kama nataka kumpigia mtu na yangu haina salio.
  7. M

    Sina raha

    Asante ndugu yangu. Sasa huo msamaha nitoe hata nisipoombwa? Ujasiri ndugu yangu ujasiri. Yani niliishiwa nguvu kabisa. Ni rafiki yangu wa karibu sana kwahiyo wanafahamiana kupitia mimi.Sio kwamba nimelifumbia macho ila nafikiria ntawauliza vipi wakati sina ushahidi mkononi?Si wataishia...
  8. M

    Sina raha

    Kivipi tena ndugu yangu?
  9. M

    Sina raha

    Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29.Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Juzi nimegundua kwamba mume wangu anatembea na mmoja wa marafiki zangu. Nilimsindikiza rafiki yangu kumuona shangazi yake mgonjwa,tukiwa pale nikataka kumkumbusha mume wangu kununua baadhi ya vitu ambavyo tulikua tunahitaji...
  10. M

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Kwahiyo hapa ni UDHAIFU gani unaotuambia?!Kwamba tuna miguu miembamba!!?Haya tumesikia madhaifu yetu..then what?!Tuikandike na udongo iongezeke size?!
  11. M

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Basi tu nia yake awaseme waChagga,
  12. M

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Mmh!Dada kama nakufananisha vile..
  13. M

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Kwahiyo unataka kujua ili?!
  14. M

    Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

    Nafikiria nifanye nini kesho.Nipumzike nyumbani with a good book and my phone turned off au nifuatilie kitu ambacho nakihitaji next week.
  15. M

    Would you let your lover be friends with his/her ex?

    Awe nae tu.Huwezi kumlinda mtu mzima, anaweza asikwambie au mkakubaliana kila mmoja akae mbali na X wake alafu yeye akakuzunguka.
  16. M

    Natafuta wa kuliwazana tu.

    Kilo 105 zote?!
  17. M

    Naombeni msaada wenu wakimawazo wanajf wenzangu....... Ndugu hawa

    Tafuta mwanasheria maana huyo mzee anachotaka ni kuwakaba kabari huku mkiona!
  18. M

    Can men and women be friends?

    I don't see why most of you thinks its not possible to maintain a ''we are just friends'' kinda relationship between a man and a woman. Ofcourse it's possible for one to fall for the other on the way but that could happen even without being friends on the first place.For two Exes it could be...
Back
Top Bottom