Mkuu, nilikuwa naamini ukiandika kitu basi ni madini matupu, ila sasa napata mashaka kama una ID moja au?
Baada ya US kufanikiwa kuiangusha USSR ndo fedha hizo unozisema zikaingizwa kwenye mfumo wa fedha wa Russia.
Kila kitu kikabadilika na hata küpelekea Urusi kuwa nchi ya wapigaji...
Serikali ingeendeelea kumwajiri huyo tabibu kwa mkataba maalum hadi hapo atakapopatikana tabibu kijana ambae ana asili ya hapohapo.
Na wakati huohuo serikali yasomesha vijana ambao wamefaulu na watokea hukohuko Mbozi waenda pale Mbeya wasomea utabibu.
I couldn't agree more due to the fact that the guy who fled from Jirani and end up in states as a refugee was prepared to go back to jirani's backyard to take mr mwembamba out.
Then when mazee realized what he was up to, they placed him under surveillance and later arrested him while he was...
Mkuu huko nje hakuna msalie mtume kodi lazima.
Nchi zote za Ulaya na Marekani mtoto akizaliwa jina laingizwa kwenye kanzi data.
Mchezo huanzia hapo.
Akifika miaka 16 apewa namba ya bima (Tanzania ni namba ya TIN) na pale ndo huanza kufuatiliwa kama aenda shule au afanya kazi.
Akifika miaka...
Honorary Citizenship haibadili uraia wa mhusika wala utaifa wake.
Hicho ni cheti cha heshima anotunukiwa mtu ambae upstairs amefika juu na wanotoa cheti hicho wameridhika.
Kama huelewi jambo basi fanya angalau kautafiti keti pale kwenye ule mgahawa wetu upate gahawa kisha upate elimu...
Nimeeleza katika moja ya mada zangu fikirishi inohusu Kleptokrasia na tabia zake kwa nchi husika.
Moja ya sifa zake kuu ni wanasiasa kusema uongo ambao ni vigumu kuukataa na pia kufanya "spinning" na "maniputalion" kwa wananchi wanowaongoza.
Hiyo yote ni katika kujaribu kuwahadaa wananchi...
Hapana, kutambua kuwa hawa na washia na hawa ni wasunni ni rahisi sana.
Nimeingiza kwa makosa neno ukabila kwani lilinijia suala la Kimbari.
Wasunni na Washia ni waislam ambao wanafuata misingi yote mitume na msahafu takatifu.
Na tatizo linowatenganisha ni imani kwamba yupi khasa ni kiongozi...
Je, hufahamu kuwa hizo policy huweza kupitiwa mara kwa mara na kufanyiwa mabadiliko?
Hujawahi kusikia watu wasema kuna "change of policy" kuhusu jambo fulani?
Usichoshwe na masuali yangu twaelimishana.
Sidhani kama kuna mahala katika mada nimesema aanzishe vya kwake.
Bali nimesema aubadilishe mkoa, auendeleze na aufanye kuwa ni mkoa wenye tija zaidi kiuchumi.
Zamani alikuwepo mzee marehemu Lawrence Gama, huyu mzee alikuwa na maono sana kama kiongozi na kila mkoa alokwenda alihakikisha...
Lakini RC si aweza kuwa awasiliana na hiyo tume ya mipango na mwisho kupewa "go ahead" na mawazo yake?
Tume ya mipango yatakiwa kuwa ni kama mwangalizi wa utaratibu mzima wa mipango ya maendeleo ya taifa inohusisha mikoa yote.
Huoni kwamba TIC na Tume ya MIpango yaweza kutumia urasimu kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.