Search results

  1. K

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: Revised Post: Kutoka Gazeti la Raia Tanzania
  2. K

    Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Mzee Reginald Mengi ame tweet mawazo yake juu ya Kauli ya Nape Nnauye ambae inadaiwa kasema waliopendekeza Serikali tatu ni wazee wanaosubiri kufa. --------------------------- Habari Kamili --------------------------- NAPE: Waliopendekeza Serikali tatu ni Wazee wanaosubiri kufa MZIMU wa...
  3. K

    Jaji Mkuu aeleza sababu za 'kujitoa' kesi ya Lema

    Jaji Mkuu: Siku ya kesi ya Lema nitakuwa nje ya nchi, sijajitoa JAJI Mkuu, Mohamed Chande Othman ameeleza sababu za kutokuwa kwenye jopo la majaji waliopangwa kusikiliza kesi ya aliyekuwa mbunge wa Chadema mkoani Arusha, Godbless Lema. Jaji mkuu, alitoa maelezo haya jana alipozungumza na...
  4. K

    Breaking News: David Mattaka na wenzake Waburuzwa kortini

    David Mattaka himself na wenzake wawili, accountant na internal auditor wa ATCL waburuzwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya ofisi. Source: ITV habari
  5. K

    Mwalimu Nyerere Foundation: Ujenzi wa ofisi umesitishwa?

    Jengo la ofisi ya Mwalimu Nyerere Foundation lililokuwa karibu na chuo cha IFM lilibomolewa kwa ajili ya matengenezo/ujenzi wa jengo jipya. Eneo lilizungushiwa hadi mabati, but hivi karibuni mabati yametolewa na makontena yaliyopo pale yamekuwa ofisi ya NPS (watu wa parking). Jengo linajengwa...
Back
Top Bottom