Search results

  1. R

    Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

    mbona hujauliza kuhusu bendera yake???acha ufinyu wa kufikiri wewe.
  2. R

    Kwanini Kikwete anawakwepa vijana na kukumbatia wazee?

    Rais atalihutubia Taifa kupitia kikao na wazee,OPEN YOUR MIND KAKA.
  3. R

    Rais Kikwete kuzungumza na wazee wa CCM Dar leo jioni!

    doctors will get what they dserve.
  4. R

    Kumbe magamba ambayo yalikuwa yanazungumziwa ni marais wastaafu...?

    humu ndani wakati mwingine watu mnaongea kero tupu,jamani tuwaacheni hawa jamaaa wafanye mambo yao na sisi tujenge chama chetu mana vinginevyo kila siku utakuwa tunawazungumzia ccm tu.
  5. R

    Ni heri Dr.Slaa aingie ikulu kuliko Tundu Antiphasi Lissu aingie bungeni by Kikwete 2010

    namkubali sana Tundu Lissu lakini siyo kwamba hakuna kama yeye kwenye bunge kwa upande wa sheria,fact ni kwamba actions za Tundu Lissu ziko ki-Advocate zaidi,kwa sisi tunaofanya kazi mahakamani tunanjua jinsi maadvocate wanavoact so as to convice the mass,ila majaji siku zote wanatumia upeo...
  6. R

    JK yupo Ikulu hajasafiri

    hakuna tofauti wa haya mnayoyaongea na yale yanayoaandikwa kwenye magazeti ya ijumaa na uwazi plus kiu,mods hizi hoja za kimbea muwe mnazihamishia kwenye page ya umbea.
  7. R

    KIKWETE huyooooooo FINLAND

    Acha uongo kaka sijui dada,pita maeneo ya ikulu utapata jibu kama yupo au hayupo,ila huu uongo wako usiwalishe watu.
  8. R

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Wewe unastahili kunyongwa na wala siyo kubishana.Msalimie Ngoyai.
  9. R

    Mgomo wa Madaktari: KCMC kufungwa kesho

    Kimsingi madaktari wanapaswa kuangaliwa stahili zao ili wawatumikie watz kwa moyo mmoja,ila kwasasa nachelea kusema wengi tunaochangia humu ndani inaonesha wazi hatuna wagonjwa mahospitalini ndo maana tunawaambia waendelee kugoma,imagine umepata ajali then unapelekwa hosptal unaambiwa dokta...
  10. R

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Bora muongelee humuhumu mana mkiongea hadharani,mi ntakuwa wa kwanza kuwapiga mawe,wasemeni wengine lakini siyo Nyerere,huu ni usenge,Nyerere alipigania hii nchi,huwezi kumtukana kwa sababu ya maslahi yako,Lowassa ni mwizi kuliko wezi wote Tz hata yeye mwenyewe analitambua hilo,acha kumtukana...
  11. R

    Huruma ya CC ndiyo pona ya Chiligati na Nape

    Lowassa for 2015,hata mimi ntampigia kampeni ya hadi ashinde maana kavumilia sana haya maupuuzi yaliyoelekezwa juu yake.
  12. R

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Hizo ni hisia tu mkubwa,UVCCM hawawezi kuiua kwasasa kwasababu juhudi zote hizo wanazozifanya ni za kuahkikisha kuwa vijana wanafurahishwa kwani mizee imeshakula mnooooo,sasa hawawezi kufanya tena hilo kosa kwa kuiua uvccm,wanajua moto wake na ndo maana Milya peke yake kawaendesha,afterall UVCCM...
  13. R

    Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

    kasalimu amri,Lowassa for 2015 apende asipende.:A S 465::juggle::smash::photo::shock::eyebrows::canada::A S-coffee::nerd::rant::director::ballchain::washing::hatari::photo::shock:
  14. R

    Sababu 3 kwa nini Ngeleja ajiuzuru

    Ngeleja na Malima ni lazima waondoke ila la zaidi ya yote Luhanjo naye inabidi asimame rumande kama akina mramba,walijua watakuwa wakuu forever,mwisho wao umefika,wameniudhi hadi natamani kulia,kumamae zao.
  15. R

    Neno La Leo: Ngeleja's Last Dance!

    :eyebrows: mimi nimwanaCCM lakini katika hili kama ngeleja hatajiuzulu,ntaihama hiki chama rasmi na ntamtukana waziwazi.
  16. R

    Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

    twambie chanzo chako cha habari,tafadhali.
  17. R

    Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

    Mbona hamjielewi mara akaongee na wasomi,wanaharakati mara ooh anahoja gani,ina maana mnampangia Rais nini cha kufanya? Mmeajiriwa lini Ikulu? Kuna tofauti kubwa kati ya Rais kuongea na watu wenye busara zao kuliko kuongea na waropokaji kama wa JF
  18. R

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    kama ni mtaji basi ni chama cha demokrasia na maandamano ndicho kinachofaidika ama kitafaidika mana maandamano yataongezeka.
  19. R

    Nape hoi hospitali, kalazwa

    pole sana kaka,Mungu atakusaidia ila ukipona stop kumuongelea EDDO mana sisi tunampenda zaidi ya unavodhani.
Back
Top Bottom