Search results

  1. W

    Naomba rejea ya kesi za aina hii kama zipo

    Tarehe 26/3/1992 marehemu babu yangu alimuuzia *M* sehemu ya ardhi HEKARI 6 katika eneo lake la shamba lake. *M* alipima eneo alilouziwa na kuweza kumiliki kisheria mnamo mwaka 1996 na kupata TITLE DEED Yenye ukubwa wa hekari 4.6 ( kati yahekari 6 alizonunua kuna sehemu ina jaa maji) akajenga...
  2. W

    WAKILI WA KESI YANGU KUWA UPANDE WA NINAYE MLALAMIKIA

    naomba kujuzwa kuna taratibu gani wakili anayekusimamia kesi, anapokufanyia udanganyifu wa tarehe za kesi kwa kupeleka mbele zaidi ,ili kufanya usihudhurie mahakamani na kusababisha kuonekana haufiki? kwa kumuwezesha ninaemlalamikia kupata ushindi (yaani kuwa upande wa ninayemlalamikia kwa...
  3. W

    INAUZWA Epson L800

    Epson L800 nzuri kwa kuprint picha na mahitaji mbalimbali inatumia external ink ipo vizuri kama unahitaji ni sms 0715387545 au piga simu TSH 650000
  4. W

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    nahitaji vijana 5 waliotayari kwa ajili ya kupata mafunzo ya kuflash simu (sofware) mafunzo nitayaendesha zilipo ofisi zangu kigamboni. kwa muda wa wiki2 mfululizo watakao kuwa tayari naomba tuwasiliane . mafunzo yataanza muda wa asubuhi saa3 mpaka mchana wa saa7. nauli na chakula ni juu yako...
  5. W

    tiGO for Developer TIGO API

    whether you a developer, a digital bussness enterprenuer, an e-commerce bussness or you are simply looking to use mobile money to ease payment management in your bussness ,the Tigo Pesa API's are now for you. when you are ready to Roll out contact our corporate team at mfs.corporate@tigo.co.tz...
  6. W

    DIRECT UNLOCK DAY AT MIKADI BEACH KIGAMBONI

    siku ya Jumamosi 17-6-2017 Tutakuwa Mikadi beach Kigamboni tutatoa huduma ya ku unlock simu zinazotumia sim1 mtandao mmoja (Yaani za promosheni) kwa bei ya Tsh5000 tu, Pia tutatoa Lock Roter za Wifi Model E5573 kwa Tsh 20000 karibuni sana ICLOUD MOBILE CLINIC KAMA UNAHISI UTAKUWEPO TUMA SMS...
  7. W

    Free unlock code day

    Leo ni siku ya ku-unlock simu zinazohitaji unlock code bure ili kudumisha mahusiano mema na wateja wetu. Tuma aina ya simu na imei namba zake pamoja na provider code (kwa vodafone huwa zinaanza na 2avdtz1). Kwa zinazohitaji direct unlock unaweza kufika ofisini kwetu ama uwe na kompyuta yenye...
  8. W

    Tunatoa lock wifi router popote ulipo

    Huna haja ya kufika ofisini huko huko ulipo tunatoa lock na kuweza kuitumia kwa laini yeyote uipendayo. Pia tunatoa network lock samsung huko huko ulipo na malipo utafanya baada ya kujirisha na kazi tuliyoifanya SMS or whatsapp 0715387545.
  9. W

    SAMSUNG ACCOUNT REMOVER BY IMEI

    Removed
  10. W

    Iphone 5s tsh.300000 only

    Kama una iphone 5s na ina lock ( ICLOUD LOCK) tunabadilisha kwa Tsh 250000 kwa kuacha ya kwako na kukufungia mashine nyengine (MOTHER BOARD) ambayo ipo safi na inapiga kazi CONTACTS email: wanatamani@gmail.com Whatsapp +255715387545 KARIBU TUPO KIGAMBONI DAR ES SALAAM
  11. W

    iPad min naziuza

    iPad mini (Wi-Fi/VZ & Sprint/GPS - 1st Gen) 1.0 GHz* Apple A5 Intro. October 23, 2012* Disc. June 19, 2015** Order MD540LL/A* Model A1455 (EMC 2609*) Family iPad mini (Wi-Fi + Cellular MM) ID iPad2,7 RAM 512 MB* VRAM None Storage 32, GB Optical None Complete iPad mini (Wi-Fi/VZ & Sprint/GPS -...
  12. W

    CCM Zanzibar kukanusha na kuridhia hii video imetengenezwa ama?

    Deleted proved wrong
  13. W

    Magufuli, lipa kisasi ikibidi; historia ni mwalimu mzuri, itakulinda

    MAGUFULI LIPA KISASI IKIBIDI, HISTORIA NI MWALIMU MZURI; ITAKULINDA.! By Malisa GJ, Leo nataka niwafundishe kidogo kuhusu historia na umuhimu wake. Katika historia ya Kanisa kuna maPapa waliwahi kufutwa kwenye orodha ya mapapa wanaotambulika na wakawa declared #AntiPope. Papa Felix II ni...
  14. W

    Zitto azidi kuandamwa Zanzibar

    Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amepewa siku 14 kufuta kauli yake na kuomba radhi kwa kumhusisha rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na makosa ya uhaini. Msimamo huo ulitolewa na wagombea wawili wa nafasi ya urais wa Zanzibar, Juma Ali Khatib...
  15. W

    Barua ya wazi kwa Magufuli, kuhusu Malipo ya Kigamboni

    Kwako mh Magufuli Waziri wa ujenzi . Napenda kukutaarifu ya kuwa yale maagizo yako kwa wahusika juuu ya sisi wananchi wa Kigamboni tulio mbele ya ilipoishia barabara ya daraja jipya .mpaka sasa tumepigwa changa la macho .pesa tumeingiziwa benk bila hundi kiasi walichojisikia kulipa .bila...
  16. W

    Tamko la Marais wa Mashirikisho ya Sanaa nchini, kuhusu kuagwa kwa Rais Kikwete

    Tamko la Marais wa Mashirikisho ya Sanaa nchini kuhusu kuagwa kwa Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 19/08/2015 Ukumbi wa Habari Maelezo, Dar es Salaam. Ndugu wanahabari, Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania unaunganisha Mashirikisho yote ya...
  17. W

    Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

    Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi...
  18. W

    Pinda baada ya kuitwa makapi

  19. W

    Iphone5 Tsh 550,000

    Nauza iphone5 nyeupe imenyooka used ipo safi 0715387545 2whatsapp tufanye biashara
  20. W

    Nauza iMac 27, bei poa

    Nauza imac 27" had tb1 ram gb8 5icore display 5k retina, Ina crack kwa Mbali imejigonga ipo kwenye box mpya 0687 387545 au 0715 387545 sms upigiwe Andrea imac kwenye sms. Bei m3.3
Back
Top Bottom