Search results

  1. Jagarld

    Erling Haaland amecheza dakika 1,745 katika EPL, amekutwa offside mara moja tu

    Kwenye njano N. Jackson atakuwa hana mpinzani hapo.
  2. Jagarld

    Chadema iliyozikwa na Hayati Magufuli imeanza kufufuka, sasa wanaenda Mbeya!

    Walitakiwa kuahirisha maandamano wakampumzishe mgombea urais 2015. Hata kama alihama chama hawakutakiwa kufanya maandamano haya wakati wa maombolezo kwa mawazo yangu lakini.
  3. Jagarld

    Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Samwel J. Sitta mbona kama aligombea au kumbukumbu haziko sawa......!
  4. Jagarld

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Kwa ushauri wangu jua liitwe Samia lakini mvua tuiite Suluhu kuepusha lugha gongana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Jagarld

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Mimi naenda mbali zaidi hata jina Tanzania Kwa sasa halitufai, kwanini isiitwe Republic of Samia......!
  6. Jagarld

    Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

    Njombe lazima wajibu kabla ya Kigoma.
  7. Jagarld

    Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

    "Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa. Huu ni uongo wa kipumbavu sana aisee [emoji24][emoji24][emoji24]
  8. Jagarld

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Majaliwa asiwe anaulizwa afya za viongozi, Yasije kujirudia Yale Yale ya 2021 eti anachapa kazi kumbe mtu Yuko kwenye jokofu[emoji24][emoji24][emoji24]
  9. Jagarld

    Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    Nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Act haigombewi, Kama unakitamani ni mpaka urithishwe na wa kukurithisha ni Zitto hakuna mwingine, hivyo ni vizuri uwe naye karibu Mkuu.
  10. Jagarld

    Vifo vya upasuaji wa kuongeza makalio vyaongezeka Uturuki

    Waje Mlonganzila kwa Madaktari Wabobevu hawatajuta.
  11. Jagarld

    FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Mlitaka asinune wakati mmempigia mme wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Jagarld

    Askari wa TANAPA apotelea porini, ahofiwa kuuawa na wafugaji na kuzikwa

    Mali na Mamlaka Mkuu siku zote hazilindwi Kizembe.
  13. Jagarld

    Nilionya mapema hapa JF asianze Kipa 'mbovu' Aishi Manula, naona 'Mnanipuuza' hivyo leo tusilaumiane kwa 'Kipigo' akidaka Yeye

    Ayoub hata ukimleta Kayengeyenge FC yetu nakuhakikishia hapati namba, Yule aendelee kula mshahara wa Bure TU na kugawana na walio mleta kakini hakuna kipa pale.
  14. Jagarld

    Serikali dhalimu ni dhalimu! Harakaharaka unalipa 75 billion fidia kwa kesi ya kimagumashi?

    Yeah, Ni Bei ya kwenye pump, nilienda kule wakati wa kurudi nikalazimika kuongeza mafuta, nilipigwa mshangao naenda kwenye pump nakuta diesel ni 4,334 ya burundi ambayo ni sawa na Tzs 2,408 Kwa exchange rate ya Tzs 1.8. Nilitamani kubeba Hadi kwenye makopo ukizingatia wakati wa kwenda nimeweka...
  15. Jagarld

    Serikali dhalimu ni dhalimu! Harakaharaka unalipa 75 billion fidia kwa kesi ya kimagumashi?

    Serikali kimekuwa kikundi Cha watu wachache Kwa ajili kupora rasilimali za wananchi. Hivi inaweza kuingia akilini eti Burundi ambapo Huwa tunaambiwa tuhamie Diesel Lita moja wanauza 2,540 wakati Kigoma diesel Lita moja inauzwa 3,700..........!
  16. Jagarld

    Kumekucha Gamondi alalamikia Viwanja na Waamuzi

    Yanga waseme tu hawapedi guest house, Bado wanajisikia huru sana kupanua mapaja mashambani hususani kwenye majaruba.
  17. Jagarld

    Watanzania tunakumbuka Mbowe aliahidi kustaafu 2023 na Zitto Kabwe 2024!

    Kwani ruzuku kwa vyama vya siasa zimefutwa........! Kama mnataka vurugu endeleeni na hizo chokochoko zenu.
  18. Jagarld

    Jaji Francis Mutungi ailima barua CHADEMA, ataka ijieleze ndani ya siku 5

    Yaani Samia asipo waona Hadi anatoka kwenye urahisi wewe na mwenzako wa kuitwa Mwashamba mnaweza changanyikiwa, Kwa kweli mnakipigania chama.
  19. Jagarld

    Kwa watumishi hawa wa umma, umma usahau kuhusu maendeleo

    Watumishi nao Wana mioyo ya nyama na familia zinazowategemea pia mjue......! Yaani nyie mmeuza Hadi bandari halafu mnategemea wapate uzalendo na moyo wa kazi wauokote wapi................!
Back
Top Bottom