Search results

  1. M

    Mwigulu-Uongozi kwa Vitendo

    Sisi vitendo wao maneno. Hatimaye barabara ya Kiomboi-Kisiriri- Kidaru hadi Chemichemi yaanza kupasuliwa. Naishukuru serikali kwa kunielewa na kusikia kilio cha wanakidaru ambao walikuwa hawana barabara ya kisasa mlimani na usafiri ilikuwa landrover. Sasa hata TAX ZITASHUKA KIDARU.
  2. M

    Mnyika Akalia Kuti Kavu

    Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini...
Back
Top Bottom