Mnyika Akalia Kuti Kavu

MENDE JEURI

Senior Member
Apr 6, 2011
198
28
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia

Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
 
ohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.
 
Mimi kwa mara kadhaa sasa nawaandikia humu JF kuwa Mnyika hayuko sawa na ana matatizo (amma "psychiatric" amma "psychological"), namsikitikia kijana huyu lakini nawasikitikia zaidi watu wazima walio karibu na kijana huyu kuwa hawajatanabahi mpaka leo hali hiyo ya Mnyika.

Nawasihi wamtafutie ufumbuzi haraka sana kwani anaweza kufanya mambo ya ajabu amma pale bungeni amma nje ya bunge.

Nawasilisha kwa mara ya tatu maoni haya.
 
Inabidi kamati au tume iundwe ya kufanya hayo uliyosema halafu nitakupendekeza wewe Zomba uwe mwenyekiti wa tume.
 
Mimi kwa mara kadhaa sasa nawaandikia humu JF kuwa Mnyika hayuko sawa na ana matatizo (amma "psychiatric" amma "psychological"), namsikitikia kijana huyu lakini nawasikitikia zaidi watu wazima walio karibu na kijana huyu kuwa hawajatanabahi mpaka leo hali hiyo ya Mnyika.

Nawasihi wamtafutie ufumbuzi haraka sana kwani anaweza kufanya mambo ya ajabu amma pale bungeni amma nje ya bunge.

Nawasilisha kwa mara ya tatu maoni haya.

Huyu mnyika nadhani ana stress au amepagawa na mambo.Anakurupuka kurupuka tu,alitakiwa awe na ushahidi kwanza ooohooo!shauri yake.
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia

Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA

ha ha Mende Mjeuri aka Mwigulu Mnchemba utaweza mbinu za Mnyika the great utaipata alitangulia kwa kusema anaushaihidi kamili mwambie kipepelete wako Jenister akipelekewa ushahidi auweke hadharani
 
zomba
Mimi nadhani Mwigulu Mchemba ndio mwenye tatizo la kisaikolojia manake nasikia akiwa mtoto alipenda kupumuliwa na wenzake huku akifurahia kwa maneno ya mwana JF aliyetuhabarisha mtu wa aina hiyo lazima awe mwehu ukimwona uso wake unaona anger na trauma aliyonayo anaimwagia sasa kwa Mnyika
 
Last edited by a moderator:
Huyu mnyika nadhani ana stress au amepagawa na mambo.Anakurupuka kurupuka tu,alitakiwa awe na ushahidi kwanza ooohooo!shauri yake.
Mwiguru Mchemba muuaji anayesemekana kwa kulipa wauuaji wa wanachadema Igunga na Arumeru ndio ambaye amechanganyikiwa damu ya wale alioagiza wauawe inamfuata he is a lost case leo tupo hapa kama mumelipwa na mwiguru mchemba mwambie tumewakuta
 
Jembe JJ namuamini hawezi kutoa maneno bila ushahidi, nina uhakika ana kitu ambacho kakishika km ushahidi, we subiri uone, nashauri ushahidi uwekwe wazi wasifichwe.
 
Mimi nadhani Mwigulu Mchemba ndio mwenye tatizo la kisaikolojia manake nasikia akiwa mtoto alipenda kupumuliwa na wenzake huku akifurahia kwa maneno ya mwana JF aliyetuhabarisha mtu wa aina hiyo lazima awe mwehu ukimwona uso wake unaona anger na trauma aliyonayo anaimwagia sasa kwa Mnyika

Hilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.

Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.
 
Hii ndio tabu ya mijitu inayofanya kazi ya kipumbavu ya kuitetea "system" bila hata kutumia hata chembe ya akili. Kilichotokea bungeni ambacho mwenyekiti Jenista Mhagama alimwagiza mheshimiwa Mnyika kufanya ni kuthibitisha kuwa Mwigulu ni MTUHUMIWA wa kashifa za EPA. Mwenyekiti alirudia mara nyingi neno MTUHUMIWA. Sasa cha ajabu nini hapo?Kama Mchemba amewahi kufanya kazi BoT hata kama aliajiliwa juzi kwanini asituhumiwe?Kinachotakiwa ni yeye Mwigulu kuthibitisha kwamba tuhuma hizo sio za kweli.
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia

Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA

Mnyika ni mtu makini sana, hawezi kukurupuka na kusema bila kuwa na vielelezo; ngojeni athibitishe halafu nyie magamba mfiche ushahidi kama mlivyofanya kwa Lema!! Chadema NOMA hawawezekani!!
 
Hilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.

Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.
Hakuna mtu mzima mwenye akili timamu anayeweza kuji "identify" na wewe mtu usietumia hata chembe ya akili zaidi ya fitina na majungu tu!
 
ndo matatizo ya kumjadili mtu, limekuwa bunge la visasi2, hv upinzani ni huu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom