Search results

1. Nchagwa Chacha

Naona hemed ajui kilichompeleka tusker project firm

Mpaka powder yule hana jipya. Msechu ndo mwanaume wa kazi
2. Nchagwa Chacha

Mambo ya kuvaa T-shirt zenye maandishi usiyoyajua.

hahahaah me nilikutana na dume zima kavaa T-shirt imeandikwa SOMEONE **** ME AT AMERICA
3. Nchagwa Chacha

Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

Me namshangaa huyu rais wetu na Waziri wa Nishati na Madini ina maana wameshindwa kutoa tamko na likatimizwa ina maana wauza mafuta ndo wameshikilia nchi wanafanya wanavyopenda, Poor Kikwete
4. Nchagwa Chacha

Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

Conglats Kibonde uko juu
5. Nchagwa Chacha

Vitoto navyo vyaandamana

duh kweli hamna kulala
6. Nchagwa Chacha

Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

Hongera Wenje kwa ujasili wako
7. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

We nani kakudanganya wabunge pinzani hawaombi mwongozo chama tawala wakiwa wanaongea! hata kama wanalalamika lkn hiyo si style nzuri ya kuwasilisha kunyanyaswa kwao wafate utaratibu. wao ndo chanzo cha kuonekana Comedy
8. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

hamna aliekataa lkn wafate utaratibu sio kukurupuka tu kuanza kupiga kelele
9. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Me siwezi kusema niko side ya ccm or cdm cause sina chama na wanaweza kuwa ccm ndo walikuwa wanapiga kelele fine lkn the thing is kwann wabishane na spika unaambiwa kaa china unagoma, unaongea umekaa huku mic imewaka tabia gani hizo wananchi wanafurahia tu
10. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Umeona eeh alafu wanajiita wanamapinduzi mapinduzi gani unaropoka ropoka bila utaratibu. Bora hata Lema Lissu ndo Kiazi cha mbeya
11. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Changes wont come kwa kubishana na spika my dia kumisbehave mbele ya Tanzania Nzima hayo si mapinduzi ya kweli.
12. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Sawa sikatai spika was wrong na hakutenda haki lkn kwanini wapige kelele makofi wanaongea bila mpangilio wanaharibu utaratibu wa Bunge!
13. Nchagwa Chacha

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo...
14. Nchagwa Chacha

Natafuta Majina ya aina hii

Chausiku
Wasiwasi Mwabulambo
Mwavita
Kiwewe
Kidawa

15. Nchagwa Chacha

Natafuta Majina ya aina hii

Chausiku Wasiwasi Mwabulambo Mwavita Kiwewe Kidawa
16. Nchagwa Chacha

Kibonde na wenzake wa Jahazi hawana utu.

Kibonde nyie mnaona ana timamu kweli!
17. Nchagwa Chacha

Shukrani

Pole sana my dia katika kipindi hiki kigumu. may our beloved Mother Rest In Peace
18. Nchagwa Chacha

I was his Ballerina Girl...bt I dumped him cuz i loved him so much.

Gud girl nimependa maamuzi yako utampata ataekupenda kwa moyo wake wote achana na huyo play boy
19. Nchagwa Chacha

CHADEMA: Kwa fursa hizi, nchi ni yenu 2015

me sikubaliani na nyie kwamba 2015 nchi na ya CDM sababu magamba lazima wachakachue kama kawaida yao na sie watanzania tulivyo waoga tutaendelea kubuluzwa miaka yote
20. Nchagwa Chacha

Wanachuo udom lini watapata haki yao!

Inasikitisha sana kiukwel watoto wa vigogo wote wanasoma nje hawawezi kuwaonea huruma watot wa wakulima cause hawaoni hasara yake.
Back
Top Bottom