Search results

  1. J

    Mashine za EFD ni mradi wa Blandina Nyoni & Harry Kitilya

    ninachojua mimi na mdyo ukweli taarifa za mahesabu za tra ni miongoni mwa taarifa bora nchini, na tra imekuwa mshimdi mara nyingi kama si wa 1 basi 2 hivo kwamba zinafichwa huo ni ichonganishi maama zitafichwa alafu zishimdamoshwe
  2. J

    Maandamano ya Wapinzani ya Oktoba 10, 2013 yaahirishwa

    huu udaku utadha mashakumpe yameweksna kati. yani hii thread ilivoanzishwa na kuchangiwa kila sekunde baada ya post kuna reply. nadhani kuna watu hawana kazi kazini kutengeneza umbea ili walipwe... ujuha gani huu karne hii!
  3. J

    Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

    wewe na hao wa aina yako ndo hivo hivo
  4. J

    Gazeti la RAI kutoka kila siku kwa muda wa siku 90

    ili nalo neno! kwamba kumlinda mwanamke... .
  5. J

    Habari njema tanesco!!!,,

    jiandaeni na TRA wafanyakazi kama 300 wanastaaf mwaka huu wa fwweza
  6. J

    Mbowe ana hekima sana!

    mwenyewe niliku na wazo kama hilo. vyma ni kamamagazet likifungwa linaamzishwa jingine ili mradi waliofungiwa si waandishi
  7. J

    Waueni viongozi wote wa CDM si wanawake na watoto!

    sasa imekuwa ni kama wamepanga,hakuna kiongozi yeyote wa CCM wala serikali anayeelekea kuumizwa na mauaji ya watoto wadogo wa madarasa huko arusha wala mwanamama mjamzito kule mtwara. wanachojali ni kuhakikisha utawala wao hautikiswi hata kama wanaoumia ni watoto na akinamama wasiokuwa na...
  8. J

    Ni CHADEMA yataka kura za huruma au ni CCM yataka kuwadanganya wenye fikra pevu?

    utakuwa unahusika kutengeneza mpango mzima mkidhani mtaeleweka hivo, sasa mnaandika tuamini mnavyotaka. ipo siku....
  9. J

    Ushauri kwa Wanyarwanda: Sioni kosa la Kikwete!

    jaribu kusomasoma kidogo siyo kushimda kwenye mitandao. hakuna kitusi au kihutu. wote wanazungmza kinyarwanda
  10. J

    Please wanaofahamu wahusika ulipuaji bomu Arusha tutajie hapa JF maana matumaini yanaendelea kufifia

    Kulingana na taarifa za polisi kwamba ni Victor pekee aliyepelekwa mahakamani kuhusisna na mauaji na wala si kwa ugaidi, wa kulipua kanisa kwa bomu huko Arusha; shahuku ya wengi kwamba serikali sasa itnachukua hatua imeanza kufifia. Kwani ni vigumu kuamini kama wapelelezi waliridhika Victor...
  11. J

    Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

    sitakaa nikaamini kwamba victor pekee ndiye aliyekula njama, akaagiza bomu, na kulipua kanisa bila kumshirikisha mtu au watu wengine. na sitaki kuanini kwamba vyombi cyetu vya ulinzi kwa zaidi ya wiki vimeshindwa kubaini waluoshirikiana na victor hata kama ni mapadre au masista naelekea...
  12. J

    Juu ya Punguzo la Kodi katika Mishahara ya watumishi, Serikali ni waongo!

    msisahau assessment ya kodi ni kwa pato la mwaka hivo unachukuliwa mshahara wako wa sasa unazidiswa x 12 na kupatamakadirio ya kodi kutokana na mapato yako ya mwaka. ikiwa mapato yako yamebadilika ndani ya mwaka husika mfano umeacha kazi au mshahara umepanda unapaswa kuwasiliana na watu wenu...
  13. J

    Juu ya Punguzo la Kodi katika Mishahara ya watumishi, Serikali ni waongo!

    serikalini wanakata basic na wala si gross, ili kuwasaidia maana viwango vyao vya mshahara ni vidogo
  14. J

    Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    mi sisemi neno maana huyu jama ananitia kinyaa na kunifanya niichukie zaid ccm
  15. J

    Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

    kama hivo ndivyo kwamba hakuba muislam aliyehusika kulipua kanisa arusha, naanza kuamini kwa nini waliompiga risasi zanziba, na waliochoma makanisa kdhaa bara na visiwani kwa nini hawajakamatwa. yawezekana wanaopewa jukumu la kutafuta watuhumiwa ndo watuhumiwa wenyewe. kama wahusika ni...
  16. J

    TBC kukata matangazo ya bunge.: hivi hakuna uwezekano wa kushitakiwa mahakamani

    siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho. Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa mawasiliano. Mfano leo kabla ya hotuba ya kambi ya upinzani TBC walikata matangazo hadi baada ya hotuba hiyo...
  17. J

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Ushauri wangu kwa wabunge ambao wanathubutu kukumbuka kwamba wametumwa bungeni na watanzania majimboni mwao ambao ni waislamu, wakristo na wasokuwa na dini. kwamba hali ya hofu kwa wakristo dhidi ya ugaidi wanaofanyiwa na baadhi ya waislam hauvumiliwi tena na umevuka mipaka ya kistahimilika...
  18. J

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    unachotaka wewe tufanye nini! tukae tizingumze... muendelee kutumaliza! semeni mnachotaka kwa wakristo mpewe kabla ya kutulipua na kutuchinja wote serikali yetu ikichekelea
  19. J

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    labda wanapewa maelekezo kwamba huo si ihalifu ni kutokuelewana kati ya wakristo na waislam na kwamba hayo yataisha kwa mazungumzo si kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya sheria kwa uzito wa makosa yao. au pengine wanasubilia kanisa zima llilipuliwe na waumini wate wafe ndo watajua boko...
Back
Top Bottom