Search results

  1. T

    Baraza la wawakilishi lafunguka: Tusilazimishane katika muungano huu. Watanganyika wanatuhadaa

    Kaka uliza uwambiwe usikurupuke au ndio usomi wetu watanganyika kuchangia tu japo uwongo.Dr.Mwinyi si mzanzibari ni mtaanganyika kwao ni mkuranga Baba yake Mzee Ali Hassan Mwinyi ni mtu wa mkuranga na wazazi wa mzee mwinyi wote wamezikwa mkuranga fanya utafiti kidogo tu utaupata ukweli na ndio...
  2. T

    Baraza la wawakilishi lafunguka: Tusilazimishane katika muungano huu. Watanganyika wanatuhadaa

    Nawewe nawe Songa mbele zanzibar songa mbele mpaka upate ukombozi wa kweli.Hongera Mh.Raza kiukweli nakukubali watanganyika tutabana mwisho tutaachia tu waacheni wazanzibari waende bana halafu wewe mwanakijiji unautetea muungano kwasababu umeasisiwa na juliasi nyerere tu huna lolote
  3. T

    Dr. Shein amteua Joel Thomas kuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi

    Naupongeza uteuzi kwa sababu alieteuliwa ni mkristu tu la sivo siutaki nafikili atakuwa ni mkiristu peke yake barazani hakuna mwengine.:flame:
  4. T

    Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

    Hahaha ati JK Hahaha huyu ni sawa na mwanakijiji tu hawana tofautin yeyote wanamambo ya kizamaniiiiiii???
  5. T

    MBOWE: Kesho Muulize WM juu ya Mzanzabari kuwa Waziri Tanganyika

    HAHAHA! HONGERA JK NILAZIMA SISI WAKRISTU TUKUCHUKIE,UMETEUA JAJI MKUU MUISLAMU KWA MARA YA KWANZA TOKEA UHURU HAWA WATU HAWAJASOMA NA 20% YA WATANZANIA WOTE HAWAFAI KUPEWA VYEO UMEMTOA KARDINALI PENGO ASIHUDHURIE VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI JAMANI JK NILAZIMA TUKUCHUKIE HAKIKA UNA OMBWE LA...
  6. T

    Hawa Nghumbi amrudisha John Mnyika Mahakamani...

    Hongera Mama HAWA N'GUMBI hakika umefanya lile nilikuwa nataraji ufanye Ni ukweli usiopingika kama huyu jamaa mnyika hakushinda pale ubungo inawezekana kabisa wewe ulishinda kuna ushahidi wa kimazingira hata kesi chadema walitoa rushwa. HALAFU JAMANI HUYU MNYIKA MBONA MIMI SIJAONA UWEZO WAKE...
  7. T

    Ahmed Rajab: Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    Ama kwa hakika makala imetulia sina haja ya kuongeza chochote labada kuweka wazi jambo moja ambalo kaka Ahmed Rajabu amelieleza but kwa uficho kidogo 'WATANGANYIKA SOTE TUNACHUKULIA LOLOTE LILILOSEMWA NA NYERERE BASI HILO HALIPINGIKI NI UKWELI TU YAANI NYERERE ANAENDELEA KUTAWALA HATA AKILI ZETU...
  8. T

    Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

    Umesahau kuwa moja msingi wa Chadema ni kuhakikisha ikipata Nchi hakuna Waziri,Naibu Waziri,Katibu Mkuu ,Wakurugenzi ,Katika na maofisa wote Ngazi ya maamuzi katika Wizara,Idara na Mashirika ya Umma ambae ni Muislamu.'Waislamu wote toa kwanza hawana elimu hata ikiwa wamesoma lakini hawajaelimika...
  9. T

    Zanzibar is gone

    Waasia ,wamalawi ,wakenya ,na wageni wanaishi hapa kwa wingi tena ni wafanyabiashara wakubwa wako na majumba na maarhi je tuko na muungano na nchi zao hebu tuache ujinga! Au mnataka kutuambia kuna muungano wa tanganyika na india ndio wahindi wakajaa hapa mpaka bungeni wapo,watu wametoka india...
  10. T

    Zanzibar is gone

    Dah!Jamani sisi watanganyika sijui NYERERE Katuroga au vipi manake tumekuwa hatuwezi kufikiri beyond Nyerere kila kitu Nyerere dah!Nyerere huyu ndiye aliejenga misingi mibovu ya uchumi na uongozi wa nchi hii Nyerere ndie Muuaji wa Tanganyika Jamani mbona sisi hivi? Lakini kitu kinachotusumbua...
  11. T

    DR. SLAA Vs MAKAMBA

    Ama kweli watanganyika akili zenu ni finyu saana Maalimu huwezi kumlinganisha na baba yenu juliasi nyerere na mtanganyika nyeyote.Hebu nendeni butiama mukamuulize juliusi jinsi alivokuwa akimuogopa maalimu.Dr.slaa na Makamba ni sawa tuu,mi sioni tofauti yao wote ni wasema ovyo hawana elimu...
  12. T

    Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    Jamani mimi Tanganyika ninalia na kuhuzunika kwanini watanganyika wangu hawanipendi? na wananichukia sana hawataki hata kuitwa kwa jina langu hawajitambulishi kwa jina langu hawataki hata kunisikia,nikiangalia mwenzangu kenya jinsi anavopendwa na wanawe ninaona choyo.Lakini mimi sinabahati ya...
Back
Top Bottom