Search results

  1. cogent boy

    BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Najua wazi kuwa wapo wachache wavivu wa kusoma, kusikiliza kwa makini na kufuatilia mambo. Hawa ndio wanaoleta fujo na kuzungumza hovyo hovyo tu kwasababu ya ujinga wao. Hawa hufikia mahali hata kuwakashifu watumishi wa Mungu. Binafsi napenda kuwapa onyo kwamba waache hiyo tabia kwani...
  2. cogent boy

    BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Ni vyema ikaeleweka wazi kwamba mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe, alieleza kuhusiana na kurudi kwa Tanganyika si kwa ushabiki wa kisiasa bali KIBIBLIA, na kimsingi alitoa angalizo hilo tangu mwanzo wa mahubiri kabisa. Kwa hiyo tujadili hili huku tukiwa na angalizo hilo. Ndio maana...
  3. cogent boy

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Nimegundua kua namwandikia mtu ambaye ni mvivu wa kusoma na kufikiri. Kwa ushauri tu, uwe unapenda kusoma na kufuatilia mambo. JF ni kwa Great thinkers pekee sio watu wajinga kama wewe.
  4. cogent boy

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Wewe cheka cheka tu, ipo siku utalia ili iwe fundisho kwako na kwa wote wanaowapuuza watumishi wa Mungu. Kuwa makini
  5. cogent boy

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Ndugu, kumbuka huyu ni mtumishi wa MUNGU, basi uwe na ADABU. Angalia maneno yako
  6. cogent boy

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Wewe ni kipofu, acha kuandika andika tu vitu vya kiburi na mizaha mizaha. Kama huna ya kuandika, ACHA!!!
  7. cogent boy

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Ndugu zangu Mungu katika mpango wake huwatumia wanadamu (i.e watumishi wake) katika kutimiza kusudi lake. Wengi tunajua juu ya habari ya Musa na wateumishi wengine wa Mungu ambao wanathibitisha ukweli wa maneno yangu. Ukiusoma ujumbe huo kwa makini utaona hapo MTUMISHI WA MUNGU akifafanua...
  8. cogent boy

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Ndugu, hujui unachokizungumza. Hujui nini hata maana ya mtumishi wa Mungu, na hata nafasi yake katika jamii. Hujui hata Mungu anafanyaje kazi!!! Kaa chini jifunze kwanza, huyu unayemzungumza na kumtamka kama utakavyo ni MTUMISHI WA MUNGU. Hivyo chunga maneno yako @ chesty
  9. cogent boy

    Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

    Mabadiliko chanya ni hatua inayopigwa kuelekea mbele, hvyo upinzani wa vitendo na maneno ni lazima. Lets continue to fight for our ideal. Tanzania must and will change. Our hopes and aspirations are more strong than our oppositions. Thanks LEMA
  10. cogent boy

    CHADEMA- maliza mgogoro kwa busara

    Busara ni vyema ikachukua mkondo wake pindi migogoro inapotokea. Hakuna haja ya mabavu na visasi. Kwanza kabisa taarifa zote muhimu zikusanywe ili kutoa maamuzi sahihi na stahiki
  11. cogent boy

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Worry out!!! The day is coming when all the sinners will'b set aside
  12. cogent boy

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Sitaki kuamini ripoti ya CAG kwanza iletwe bungeni then tutafahamu ukweli halisi wa mambo. Ilia nafikiri waliotoa tuhuma zile dhidi ya JAIRO hawakukurupuka bali walikuwa na uhakika. Pia tunataka tuone utashi wa PINDA kisiasa kwani kutokana na tuhuma zile za jairo alisema kuwa angekuwa yeye...
  13. cogent boy

    Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni...

    well done LIBYA and NATO; finally all the regime of dictatorship removed!!! am glade let's move on for real DEMOCRACY
  14. cogent boy

    The fact: Osama is dead, who doubts?

    GUD JOB, thnnks for the facts:israel:
  15. cogent boy

    Diploma vipi jamani????

    Hivi SJMC hawatoi diploma?
  16. cogent boy

    CHADEMA ndani ya Sumbawanga

    safi sana mwana harakati!!! hali ndio hiyo watu sasa wako aware na issues zinazowahusu.
  17. cogent boy

    Maswali muhimu kwa JK baada ya kujivua gamba!

    CCM hilo gamba tu nyoka ni yuleyule na sumu yake...... Mmeishiwa
Back
Top Bottom