Wadau, ninatafuta kununua kampuni ya clearing and forwarding iliyokamilka. Isiwe na madhambi yeyote, fines, wala kudaiwa kodi na TRA. Iwe imefanyiwa annual filings za BRELA. Any interested party naomba tuwasiliane.
Inategemea unakopa kwa ajili ya nini. Kama ni matumizi binafsi basi lazima utaumia baada, lakini kama utaweza kufanya kitu kuleta kipato kitachorejesha makato ya mkopo na kuleta kipato endelevu basi ni wazo zuri. Cha msingi ni kujua unakopa kwa ajili ya nini? Sio ilimradi upate hela tu!
Utaratibu ni kwenda na kitambulisho na kujaza account opening forms. Account ikishafunguliwa unaweza kuamua kununua hisa mfano za TBL. Kama hisa moja kwa wakati huo inauzwa mfano 2,800/= kila moja na wewe unataka hisa 100 basi itacost 2,800X100= 280,000/= plus commission ya broker wako. Same...
Inabidi ufungue Central Depository Account kupitia a broker kama Tanzania Securities, Orbit, au Solomon to name a few. Unachohitaji ni kitambulisho halafu wao watanunua na kuuza hisa kwa niaba yako. Charges zao ni between 1.1%-2% ya thamani ya transaction.
Hata ukiwa na hati, kupata mkopo inakua vigumu mpaka paendelezwe. Logic ya mabenki ni kua ardhi ni mali ya serikali ukiwa una hati unapewa "right of occupancy" kwa muda wa 33yrs, maana yake ni serikali imekukodisha ile ardhi kwa muda huo. Ni rahisi zaidi ukiweka hata kabanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.