Kama una nia ya kwenda sudan tafuta kazi un ama kwenye mashirika yaliyo chini ya un. Usitegemee kwenda na vyeti ukapata kazi kule kimsingi haziko kihivyo hata wao wana wasomi lakini hawana kazi
wewe kama ulizamia meli na mtoa mada ndio utaona hakuna kilichofanyika kwa miaka 50, nchi imepiga maendeleo makubwa isipokuwa tunachangamoto ya ukuaji wa miji/idadi ya watu kwa kasi si rahisi kuona maendeleo ya mtu mmoja mmoja, CCM haiwezi kufa kamwe hizo ni dua za kuku
mie nakuunga mkono kabisa mdau, imefika wakati watanzania tujaribu kuchanganua mambo kwa mapana na marefu, tunahitaji kuwa na serikali inayojali utawala wa kisheria na demokrasia matatizo ya kiuchumi yaliyopo TZ kama utakuwa umetembea nchi nyingi za afrika bado watanzania tuna nafasi kubwa ya...
ndio tatizo lenu wengi wenu humu mmekalia kubisha tu kila linalofanywa na JK huo sio u graet thinker, wakati wa Ben na awamu ya kwanza hiyo katiba unayosema haikuwepo? acheni ubabaishaji kabla ya kuropoka rejea historia
Pamoja Mr. President hao waroho wa madaraka na wachumia matumbo yao endelea kuwabana mpaka wajifunze kutafuta vipato vya halali, kaza buti wajanja tuko nyuma yako
uko sahihi kabisa mdau hapo juu wengi wetu watanzania hasa tulio nje tumekuwa watu wa kulaumu na kubeza juhudi kubwa zinazofanywa na serikali, huwezi pata picha halisi ya mambo kwa kusoma vyombo vya habari vyenye muelekeo wa kupinga pinga tu pamoja na wanasiasa wenye kiu ya urais, inshort mimi...
teh teh mlikuwa mnamuona mh Rais amekurupuka aliwachukulia staha mkaona mumpande kichwani, endelea kuwafyatua JK nakuaminia watakuelewa tu wenyewe muda si mrefu baba!
naungana na ww mdau hakuna haja ya kuundwa kwa kamati ni kiini macho na kujaribu kupoza hasira, hiyo kamati haitakuja na jipya la kumzidi CAG na takukuru wenye ushahidi kafungueni kesi mahakamani msimamile pesa zetu kwa kulipana posho
heko kabisa msisahau kujipanga kuna route ya khartoum, KIA-Dar es salaam tunakosa watalii wengi sana kutoka wafanyakazi wa mission walioko sudan wanaishia kenya na KQ yao.
wajifunze sheria za barabarani na kupata leseni halali enyi wamiliki wa bodaboda acheni kuwapa vijana bodaboda zenu mtu anajifunza siku 2 tu anaingia barabarani
zifutwe tu hakuna haja ya kuwa na excemption tena wanosamehewa ni wafanyabiashara wakubwa wananchi wenye kipato kidogo wanalipa kodi ya mapato kabla hata hajaanza kufanya hiyo biashara si uonevu huo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.