Search results

  1. Y

    Pata submersible borehole pumps

    Habar wakuu; kwa wenye uhitaji wa submersible water pumps complete set +motor ( zimetumika chini ya mwaka Mmoja) kulingana n.a. sifa orodheshwa hapa chini *Manufacture - Leo, 7.5kw , discharge 16m-cubic/hr, country of origin -China , Price 5,000,000tsh (mpya) *Manufacture...
  2. Y

    Niko mbali; Je naweza tumiwa cheti changu kutoka shule

    Habar zenu; nilipomaliza form six sikuenda kuchukua cheti changu; sasa yapata miaka miwili toka nimalize chuo; naona Kama ntakihitaji kwa haraka na sasa Niko mbali na mkoa huo; je kunataratibu zozote naweza Fanya nikatumiwa hicho Chet kutoka shuleni; Nb; nimeitwa interview serikalin vyeti...
  3. Y

    Nimeajiriwa secta binafsi, nahitaji kukopa benki (CRDB)

    habari zenu wakuu, nimeajiriwa katika secta binafsi na ninamwaka mmoja sasa katika ajira hii, nimekuwa nikifuatilia habari za upatikanaji wa mikopo( hasa humu JF) na kwa taarifa ninazoziona ni kuwa mikopo inahitaji dhamana ya mali mfano nyumba, viwanja au gari vitu ambavyo mimi siko navyo. sasa...
  4. Y

    I have an Idea: Nahitaji ushauri, maoni

    Habari, Jaman nimepata mawazo fulan hivi. Kwanza nianze kwa kutamka kuwa Mimi si mtaalamu wa maswala ya information technology, but ni mtumiaji mzuri Wa hizi huduma wanazotuletea, katika hii fani niliyonayo nimepata wazo la kutoa huduma kupitia nyanja hii ya IT, nikiwa na lengo la kushirikiana...
  5. Y

    Selection za Water Development Management Institute vipi?

    Habari; naulizia juu ya selection za hicho chuo mwenye info; naomba anifahamishe
  6. Y

    Selection za vyuo vya kilimo 2014/2015 kweupee

    Habar tembeleeni website ya wizara ya kilimo kujionea majina wameweka tiyari
  7. Y

    Nahitaji taarifa kuhusu selection vyuo vya kilimo;(certificate and diploma) 2014

    Ndugu naomba kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu selection za vyuo vya kilimo ngazi ya certificate and diploma kwa mwaka huu (2014) atujuze; ni lini majina yatatoka or any useful information; Nina rafiki yangu alituma maombi; anahitaji sana hizi taarifa; Thanks
  8. Y

    TCU na wadau wengine wa elimu( masters and PhD za SUA zinatesa wasomaji)

    Ndugu zanguni, hizi masters na PhD za SUA kwa kweli inakuwa ni mateso kwa wasomaji yaan course duration mfano kwa masters degree ni miaka miwili lakin imekuwa ni suala la kawaida kwa mtu kutumia up to 4 and 5 years, na kwa PhD hadi miaka 7,8, 9, mfano kwa mahafali ya 29 ya mwaka huu Msc of crop...
  9. Y

    UDOM yakabiliwa na uhaba wa wanafunzi

    kwa maelezo yaliyotolewa na makamu mkuu wa wa chuo kikuu cha dodoma (UDOM), anasema kuwa matokeo mabaya ya kidato cha nne na sita kimesababisha UDOM kukosa idadi ya kutosha ya wanafunzi kulingana na uwezo wa chuo hicho SOURCE, TBC-Taifa ( dira ya mchana) oct 8, 2013
  10. Y

    Msaada :Vocha TCU/NACTE application inauzwa

    Habari ndugu zangu, kuna jamaa yangu alinunua vocha kwa ajili ya kuomba usajili TCU, ghafla amepata matatizo hivyo ameshindwa kutuma maombi, Tunaomba msaada kwa anayetaka KUTUMA maombi kupitia Diploma Category, tumpatie vocha hii kwa mukubaliano ya kulipa kiasi cha pesa , NOTE, 1=Thamani...
Back
Top Bottom