Search results

  1. M

    Nahitaji XBOX 360 controllers

    Heshima kwenu wakubwa! Nahitaji kununua XBOX 360 controllers kama hautumii tena hata kama ni used, iwe tu inafanya kazi vizuri. Tafadhali nitumie ni-PM ahsanteni sana. Shukrani!
  2. M

    Htc one inauzwa

    HTC ONE imetumika miezi sita na iko katika hali nzuri , haina tatizo lolote. Ina kila kitu chake kwenye box kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni 850,000/= Anayeihitaji ni PM, Ahsanteni wote.
  3. M

    Kwa anayeuza cd za games xbox 360

    Kama una CD za games za XBOX 360 ambazo umezitumia lakn bado zina-PLAY na huzihitaji tena, NI PM aina ulizonazo na bei zake. Ahsante
  4. M

    Nauza gari toyota carina ti km 38400 tu.

    Habari zenu !! Nauza gari TOTYOTA CARINA TI kama maelezo yake hapa chini: CAR: TOYOTA CARINA YEAR: 1999 KM : 38400 Transmission: AUTO Imetummika: TZ miezi mitano tu. Insurance: Comprehensive, expire date November 2013 Motorvehicle license : expire date November 2013 BEI: 9 MILLION...
  5. M

    Natafuta nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili, sebule na jiko ndani na iwe self

    Heshima kwa wote!! Nahitaji nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili vya kulala, iwe na jiko na sitting room na iwe self ndani. Maeneo: Magomeni, Moroco ya Alhassan mwinyi, Upanga, maeneo ya victoria na ya karibu na maeneo hayo Kodi: Budget ni 250,000/= mpaka 300,000/= kwa mwezi ( kodi miezi...
  6. M

    Natafuta mchumba awe muarab or indian origin.

    SIFA: Awe na elimu minimum form 4 + any professional cetificate awe serious na mpole kidogo, awe mwembamba (slim) na urefu kuanzia 160cms kwenda juu. mwenye bahati yake ambaye anameet hizo qlfcations anitumie private message hapa. thanks 2 all wanajF
Back
Top Bottom