Search results

  1. peri

    Zitto Kabwe apata mtoto wa kike

    Mashaalahh, ALLAH amkuze vyema. Hongera sana ZZK
  2. peri

    Hali kama hii, muda kama huu maaskofu na wachungaji pasingetosha!

    Yani mleta mada nakupa big up sana. Umenena ukweli mtupu japo wengi hawataki kuusikia
  3. peri

    Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

    Alijua katiba yetu ni mbovu na hakuchukua hatua Zozote kurekebisha hilo ni moja kati ya mengi tutakayo mlaumu nayo. Kusema bila kutenda wakati uwezo wa kutenda unao haisaidii lolote.
  4. peri

    Moto mkubwa wazuka Israel, waunguza vituo vya jeshi

    Wao kila siku wana waua wapalestina kwa mabomu, sasa huo ni Mtihani mdogo tu MwenyeziMungu amewapa.
  5. peri

    Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi

    Fuatilia Habari mkuu, kuna uzi humu unamhusu huyo sheikh Hamza akitoa tafsiri ya aya za Qur'an ambayo sio sahihi. Nikipata nafasi Nita uweke
  6. peri

    Toyo 150 vs Boxer bm 150

    Mkuu kama una taka kitu kizuri usi ogope gharama. Uzuri wa Boxer/Honda kulinganisha na mchina, Honda/Boxer hazi hitaji service mara kwa mara kam Mchina.
  7. peri

    Toyo 150 vs Boxer bm 150

    Boxer ni Mashine hatari, mchina haoni ndani. Kuna pikipiki nyingine Nzuri kuliko Boxer, Honda Ace. Hiyo hata Boxer cha mtoto. Ni ngumu mno, imara na inanusa mafuta, hailambi. Hizi bei yake ipo sawa na boxer na spea ni ghali kama boxer ila uimara na comfortability ni zaidi y Boxer. Nime zitumia...
  8. peri

    Kazi imeanza leo daladala Kigamboni to Complex Kariakoo

    Tutamkumbuka Dr dau na JK kwa hili. Magufulu anatakiwa nae akiondoka aache kumbukumbu za kdudumu kama hizo.
  9. peri

    Mapigo ya moyo kwenda haraka haraka, naomba ushauri

    hizo ni dalili za matatizo ya moyo, mkewangu anatatizo linaitwa miltralvalve prolapse na anadalili hizo lakini sikuhizi hajambo kiasi flani. nakushaur ukaonane na dk mlawa ni senior specialist wa magonjwa ya moyo anapatikana tumaini, muhimbili, aljumaa, nyengine nimesahau lakin ye alikua...
  10. peri

    Ushauri juu ya huu ujauzito

    elewa mwili wa mwanamke hauna formula maalum kwa maana kua njia hiyo ya kalenda sio mara zote ipo constant huweza kubadilika kutokana na hali ya hewa km kusafiri, stress, maradhi, dawa nk. kwahiyo usikariri kaka kwamba lazima siku za hatar zianze kwenye siku ya kumi au 11.sometimes huweza...
  11. peri

    Ushauri juu ya huu ujauzito

    nenda nae hospital halaf muonane na dk wa wanawake amuelezee mashaka yako naamin atakufafanulia vizur.
  12. peri

    Ni wakati wa Rais Magufuli kumpigia magoti Kikwete na Membe

    Hivi unajua maana ya mswahili? Manake unalitumia kama tusi wakati wewe mwenyewe ni mswahili. cc FaizaFoxy
  13. peri

    Ni wakati wa Rais Magufuli kumpigia magoti Kikwete na Membe

    Hivi unajua maana ya mswahili? Manake unalitumia kama tusi wakati wewe mwenyewe ni mswahili. cc FaizaFoxy
  14. peri

    Idadi ya watumishi hewa kwa kila mkoa Tanzania

    Dar 850005450
  15. peri

    Kaburi halilali njaa, ni mdomo wa kuzimu

    Kw Kwani wewe hunywi damu ya Bwana?
  16. peri

    Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

    Kaf Ewe kafiri elewa, kafiri sio tusi bali ni jina unalo stahili. Kafiri ni yoyote aliye kinyume na uislam, ingekuwa wewe ni muislam usinge sema kafiri ni tusu. Silimu kwanza ndio ukatae kuitwa kafiri. Usipo Silimu utaendelea kuwa kafiri mpaka kufa kwako. MwenyeziMungu akuongoze utoke kwenye...
  17. peri

    Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

    Hivi kuna hoja yoyote hapo??? Kuna hoja isiyo na ushahidi hata mmoja?? Katika tuhuma zote mleta mada alizo ziweka kuna ushahidi hata wa kuunga unga??? Mbona makafiri mna tapatapa sana???
Back
Top Bottom