Search results

  1. Jaxx

    President Obama's Schedule in Senegal, South Africa and Tanzania

    Hakuna tofauti na ww uliyeweka picha ya mke wa mtu kuliko kuweka ya bibi yako au hata ya Maria Nyerere
  2. Jaxx

    Matapeli wamerudi na message ya aina tofauti

    Nina wasiwasi na elimu yako,,,kama huoni hili tatizo la ajira na una support utopian,,,,hauko timamu
  3. Jaxx

    Miaka 50 ya uhuru-adui wa nne kazaliwa

    Moved to SIASA
  4. Jaxx

    Maadui wa Watanzania: Aongezeka mmoja

    Nadhani mtaniunga mkono kuwa wakati Mwl J.K.Nyerere anapata Uhuru wa Nchi hii alitangaza kuwa tunakabiliwa na maadui WATATU ambao ni, NJAA, UJINGA na MARADHI ila kwa bahati mbaya sana kwa mtazamo wangu na kwa watanzania wenye mtazamo kama wa kwangu ni dhahili mtakubaliana na mimi kuwa kwa...
  5. Jaxx

    Miaka 50 ya uhuru-adui wa nne kazaliwa

    Imehamishiwa siasa forum
  6. Jaxx

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Mkuu hapo red Wenje alimaanisha kuwa Viongozi wa Chama (CCM) na Serikali watoe Bolt machoni mwao ndiyo waanze kutoa vibanzi machoni mwa Askali, Nadhani ieleweke hivyo!
  7. Jaxx

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    You can't think beyond your nose!!!!!!
  8. Jaxx

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Kataje angalau tukajue mdau maana umefumba sana!!
  9. Jaxx

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Game ni tough hata sijui hatima yetu
  10. Jaxx

    Jaji Werema ageuka waziri wa mambo ya ndani

    Leo Mwanasheria mkuu Ameamua kuonyesha msimamo wake kwa kuiponda CHADEMA juu ya maandamano na akatoa ufafanuzi wa Kisheria kuwa matokeo ya uchaguzi yanapingwa kwa kupelekwa mahakamani na SIYO kwa Maandamano.Ila Ameshindwa kutoa ufafanuzi wa kisheria inasema vipi juu ya Maandamano. Nawasilisha
  11. Jaxx

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Mwanasheria mkuu amewabeza CDM
  12. Jaxx

    Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

    Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa wanakula mabilion,Ameonekana akirudia rudia sana kuapa kuwa HAKI YA MAMA.Mwisho kwapongeza Wabunge...
  13. Jaxx

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Wametolewa nje na Naibu speaker kwa kosa la kuongea/Kuwasha MIC bila ruhusa ya Naibu Speaker Kuna haki hapo?
  14. Jaxx

    Miji (sehemu) mizuri kwa mapumziko TZ

    Utakuwa umeupatia ukubwani na mkopo hujamaliza ndo maana unaona kama ndiyo raha ya maisha kuliko kutalii!!!! Samahani kama nimekukwaza naongelea hapo red!!
  15. Jaxx

    Kuitwa Kazini DAWASCO

    Ndiyo majina yako kwa CEO yanasuburi approval so uvumilivu unahusika wadau wenzangu.
  16. Jaxx

    Kuitwa Kazini DAWASCO

    Usipotoshe watu
  17. Jaxx

    Shibuda: CHADEMA nifukuzeni muone!

    Mbona CCM walimtimua kama hapo red ni ukweli??
  18. Jaxx

    Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa...

    Angalieni post zake ndiyo muanze kumuhukumu, la sivyo mnamuonea bure!!!...........Gamba at work!!!.
  19. Jaxx

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Waziri mkuu atoa hoja ya kuhairisha hoja ya Ngereja na imekubarika
Back
Top Bottom