Search results

  1. Gorgeous

    20% na Kili Awards

    hata zingekuwa kumi jamaa anastaili mana tushachoka na wabana sauti siku mbili nyimbo inakukinahi
  2. Gorgeous

    Clouds FM kuweni makini

    Clouds FM mnaboa sana hasa mnapoleta habari za majumbani mwenu ktk habari muim utani na kejeri vimezidi sana hamko serious kabasa na jahazi ndo hakuna kitu mnaboa sana....kuweni makini wajameni na mpunguze sifa za kijinga lo!!!
  3. Gorgeous

    Ni halali kumlazimisha Dada yako akaolewe?

    muim ni kujua tu huyo dada alichanganyikiwa na ndomana aliweza kutamka maneno yasofaa na kumlushia cm mana kama tabia yake ni mbaya si angeiona tangu hapo nyuma si washa kaa miaka 3? hapo watakuwa walisha gombana sana ila wakaelewana so kifupi wanajua tabia huyu dada kuhamia kwa bf wake...
  4. Gorgeous

    Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

    Hayo ndo maisha ya asilimia kubwa ya wanaume zetu hapa bongo kuwa na wanawake zaidi ya mmoja kwao imekuwa fashion wanatuchagua ka karanga yani tumekuwa bidhaa anachukua na kutest tena si kwa mala moja mpaka pale atapochoka ndo anakuja kukupa black and white bila hata uruma inasikitisha sana na...
  5. Gorgeous

    Nauliza tu......Ingekuwa wewe Ungereact vipii??!!!

    Hata mimi ningekuwa karibu ningeshuka kwa kitendo alichofanya mdada mwenzangu, mana kwa karne hii ya sasa mtu unatakiwa kwenda na wakati kwa kufatilia habarii na kujichanganya na maswala ya jamii inavyokwenda ili kujua kinacho ingia na kutoka. Mana maneno na misemo...
  6. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    Asante sana nafarijika
  7. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    Asante sana Katavi, kwa ukaribisho wako tko pamoja...sikunjema nakutakia.
  8. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    Asante sana mpendwa Dena, Nashukuru sana kwa ukaribisho wako ntajitahidi ili tuwe pamoja......... nakutakia siku njema.
  9. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    Asante sana Aprin, Am not a girl but not yet a women.....niko hapo katikati so natumia (she) asante kwa kunipenda i belive with time nami ntakupenda si unajua kinadada!!!!!!!! nahapo juu ktk avatar ni Gorgeous mwenyewe have a nice day Asprin.
  10. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    Asante sana sistr.Heren na nahisi humu wazuri ni wengi mana jina lako na muonekano hapo juu si haba sikupatii picha!!!!!!!!!!!.
  11. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    hahah! asante Mr. Chatu dume kwa chai..
  12. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    Asante Nduka! ntaangalia hamna tabu.
  13. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    thenx mpendwa naimani kwa ushirikiano wenu ntavumilia yote
  14. Gorgeous

    Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

    wanajukwaa hali zenu? naimani mko poa.. mimi kama Gogreous naomba ukaribisho wenu katika hili jukwaa mashuhuri kuwa mmojawenu mana nimeona napitwa na mengi mazuri.
Back
Top Bottom