Naomba Mnikaribishe Jukwaani Gorgeous

Gorgeous

Member
Mar 21, 2011
15
2
wanajukwaa hali zenu?

naimani mko poa.. mimi kama Gogreous naomba ukaribisho wenu katika hili jukwaa mashuhuri kuwa mmojawenu mana nimeona napitwa na mengi mazuri.
 
Karibu Gojaz............ naomba kuuliza hiya avatar ni picha yako halisi? Am in love with you darling. (Sorry are you he/she?)

Asante sana Aprin,

Am not a girl but not yet a women.....niko hapo katikati so natumia (she)
asante kwa kunipenda i belive with time nami ntakupenda si unajua kinadada!!!!!!!!
nahapo juu ktk avatar ni Gorgeous mwenyewe have a nice day Asprin.
 
karibu sana mrembo gojaz hapa jamvini.
ni pagumu sana na pazuri vile vile yategemea na moyo wako tu
 
Back
Top Bottom