Jaman chakula cha mifugo hasa nguruwe au ngombe kinauzwa kwa bei chee kabisa.chakula hiki ni special kwani kina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo:
1.pumba
2.ngano
3.unga wa mahindi
4.mahindi yenyewe.
ni kizuri na kinanenepesha sana mifugo hasa nguruwe kwa muda mfupi.bei ni nzuri tutaelewana.kwa...
mh inategemea mtt mwenyewe makuzi yake.naimagine kuna mtu anamtt ambae alimfukuza mama yake miaka mingi iliyopita.mtt amekua akiishi na mama tofauti.leo huyu kesho huyu achilia mbali mahausigeli wa ajabu ajabu wengine hata wachawi.yan ni wiki tu kama tatu zimepita mtu amemfukuza mwanamke...
mimi naomba kujuzwa cc na consumption ya mafuta ya mini-rav4.yan ile ya milango mitatu.na offcourse ningependa kujua bei yake kwasasa.nataka kujua kama itanisaidia kwashughuli zangu za hapa mjini
2011 sitaisahau maishani mwangu.mambo yaliyotokea kwangu machungu yasiyovumilika,sijawahi kupata machungu kama ambayo yalinipata 2011.namshukuru Mungu kwa mwaka huu.nilidhani sitamaliza mwaka huu lakini ilipofika leo asubuhi nikajua kweli nimeumaliza huu mwaka.najua hata maadui zangu hawakujua...
wewe hawajambo huko usukumani??halafu siku hizi hapendwi mtu tunaangalia maslahi.anyway hayo yapo huko usukumani na si hapa mjini.
hata hivyo habari za siku nyingi???umepotea kweli toka mje siku ile sijakuona tena.karibu bwana tupo
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia...
story yako imenigusa sana.unashangaa hilo???me nilizokuwa hospital kwa ajili ya kujifungua mtt ambae najua amekufa kupata hata msaada wa senti tanx kwa huyo wanaume ambae yupo humuhumu jamvini,hata baada ya kujifungua nikampigia simu ili aje wakamzike mwanangu akaniambia nitafute wale...
kuna ukweli kuwa wanaume wa kabila hili wanaukatili flan hivi.kisa kinachokupata kina fanana kabisa na kilichonipata.usipokuwa makini wanaweza kabisa kukuletea madhara makubwa.fanya uamuzi sahihi
nakumbuka jinsi mtt wangu alivouliwa na jamaa mmoja tena huku akishirikiana na mama yake.wakati nipo kwenye msiba huo anataka kunimaliza kbs kwa kuniibia pesa zote nilizokuwa nazo kkisha kuzitafuna na mama yake. Cha ajabu na kushangaza ni mwanajf na hujifanya kuandika madam mbili mbali humu...
binafsi nampongeza sana yule mbunge.yan alipanda mpaka ile boti ya uokoaji na kushiriki ktk kuokoa wale ndugu zetu.ni mfano wa kuigwa.mbunge tunakupongeza sana kwa moyo wako wa utu.
binafsi naipongeza sana clouds kwa katoa taarifa za mafuriko leo.wametusaidia sana kujua tupite wapi na wapi tusipite.mnastahili pongezi kwa kazi nzur.big up watangazaji wooote wa clauds.
Jamani wengine tuko mjini tunataka tuwahi kurudi home.tunasikia sikia tetesi kuwa salender hapapitiki na hata jangwani pamefungwa sasa sijui tupitie wapi jamani wenye taarifa tunaomba uelekezi
yan acha kabisa mijitu ya kutoka hii kabila ina roho mbaya sijawah kuona me nimeshuhudia kwa macho yangu.familiar ss hii wamachame wengi waliokuwa na maduka makubwa kkoo wamefilisika coz of roho mbaya na ukatili.usithubutu kuna au kuona na hii mijitu
Gangilonga naikumbuka sana.namkumbuka sana mwl hassan(m'baku) na uwanja wa damu,gombe sugu.acha kabisa ilikuwa balaa yule mwalimu.nawakumbuka mwl kyambile,mwakalalile,matembo,mfilinge na wengine wengi.wanafunzi niliosoma nao mimi ni shambe,julius ngatunga,sanura nurdin(mtt wa DD wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.