Search results

  1. marcs

    NI kampuni ipi nzuri kununua bidhaa mtandaoni.

    wakuu niambieni ni ipi kampuni ambayo unaweza kuagiza bidha kutoka nje ya nchi na ukaipata bila rongo rongo na kwa bei nzuri
  2. marcs

    Kagera yarudishia pointi 3 zake na magoli 3

    Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi wa kamati ya masaa 72 kwa kuipa simba pointi 3 na kuzirudisha kwa kagera Akitangaza uamuzi huo katibu mkuu wa TFF selestine mwesigwa amesema kamati ya sheria imebaini mapungufu kadhaa katika maamuzi ya kamati ya saa 72 kwa kwanza rufaa...
  3. marcs

    [B]nadhani neno hili ni kuwaibia wananchi

    1 HALICHACHI 2 HATUPIMI 3 HALIISHI Nimasikitiko makubwa kuona makampuni ya simu yakijitangaza kutoa offer ya vifurushi visivyo na ukomo kama ilivyo hapo juu Makampuni ya simu yameendelea kuwaibia wananchi kwa udanganyifu wa kutoa vifurushi visivyo na mwisho hakuna tofauti na vile vya kwanza...
  4. marcs

    Serengeti boy yapangwa kundi B

    Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu Katika michuano jiyo inayotarajiwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu Tanzania imepangwa kundi B na timu ya Mali Niger na Angola...
  5. marcs

    Pisha njia wenye njia wapite

    kazi inaanza kesho kisigino kinarudi kwake hata cku moja kisigino hakikai mbelembona mnakwenda mtoni kuzama kabisa duh
  6. marcs

    Kusajili laini za simu mtaani ni hatari, hatari kabisa

    Nimeamua kuwatahadharisha wana jf na watanzania wote kwa ujumla kuwa kuna wizi ktk mawakala wanaosajili laini za simu mtaani kuwa ni wezi. Ilikuwa tarehe 10/08/2016 mwaka jana saa 5 mchana kulitokea vijana watatu wakisajili laini za cm mtaani eneo la kigamboni Dar wakitoka kampuni moja ya cm...
  7. marcs

    Mapenzi sio pesa ona hii

  8. marcs

    Kwanini hasa minara ya simu haifanyi kazi ipasavyo baadhi ya maeneo?

    Je ni nini kimekosewa au kusababisha minara ya simu kutokufanya kazi ipasavyo kuna utofauti mkubwa katika mimara ya vijijini na ya mjini. Minara ya vijijini inaonekana kuwa na nguvu zaidi ya minara ya mjini kwa mfano minara ya vijijini huwa mnara hadi mnara ni km 80 watakaokuwa watapata...
  9. marcs

    Kwa nn picha zimeacha kukaa ktk post zangu?

    Niambieni wakuu image photo hazkai tena ktk post zangu je kuna mabadiliko labda ktk App ya jf ?
  10. marcs

    Je wajua kwamba yesu hakuzaliwa Desember 25 soma kisa hiki

    Imekuwa Desturi watu kusherehekea Desember 25 kuwa ni cku ya kuzaliwa yesu lakini kumbe sivyo Kumbe'' Desember 25 haikutokana na chanzo chochote ktk kibiblia kinasema kitabu The Christmas Encyclopedia,lakini ilitokana na sherehe za kipagani za kirumi zinazofanywa mwishoni mwa mwaka, karibu na...
  11. marcs

    Ni nani mwanaume anafaidi...papuch na mwanamke mwenye makalio makubwa au madogo?

    Habari wakuu kuna tabia ya vidume kutamani au kupenda wanawake wenye makalio makubwa kama picha hapo juu Hii tabia au kasumba imepelekea sasa akina mama wenye maumbo hayo kujiona wa ghali au wako ktk kiwango cha juu na wengine kuwapelekea wasio na makalio makubwa kutafuta mbinu mbadala kama...
  12. marcs

    Mzee wa miaka 75 Aweka bango la mke anayemtaka

    Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango barabarani. Katika bango aliloliweka katikati ya barabara Mzee Mchambua alianisha sifa tano za mke...
  13. marcs

    Huyu kweli Rais wa wanyonge hebu tazama hii mwekezaji kufutiwa leseni

    Rais Dkt Magufuli aagiza Machinga wasiondolewa jijini Mwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kusitisha mara moja utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara...
  14. marcs

    Picha 10 China waanza kutengeneza meli inayofanana na TITANIC

    Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast, iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500 ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York. Leo ikiwa ni takribani miaka mia na nne ‘104’ imepita...
  15. marcs

    AJALI YA NDEGE Nyota Brazil afa baada ya kumpigia cm mkewe

    Danilo akiwa na mkewe enzi za uhai wake. Picha hizi alizirusha katika mtandao wake wa Instagram Medellin, Colombia. Ulimwengu wa soka una maajabu yake. Kipa wa Chapecoense, Danilo aliyenusurika katika ajali alimpigia mkewe simu ya mwisho kabla ya mauti kumkuta akiwa hospitalini Medellin...
  16. marcs

    Mwanasayansi nguli Stephen Hawking adai baada ya miaka 1,000 Dunia itateketea

    2 hours ago Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa baada ya miaka 1,000. Mwanasayansi nguli Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale, mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti. Stephen hawking...
  17. marcs

    Japan kutumia $175m kutengeneza komputa yenye kasi zaidi duniani

    30 minutes ago Japan inatumia takriban dola milioni 175 kutengeneza supercomputer yenye kasi zaidi duniani. Hiyo ni jitihada ya nchi hiyo kuivunja rekodi ya China. Kompyuta ya AI Bridging Cloud inatarajiwa kuwa na kasi ya 130 petaflops, kwa mujibu wa BBC. Hiyo itakuwa ni kasi zaidi ya Sunway...
  18. marcs

    Wakenya watamani Rais Magufuli awe rais wao angalau kwa mwaka mmoja

    2 hours ago Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini Kenya (COTU), Bw. Francis Atwoli amesema anaikubalia kasi ya Rais Magufuli katika kupambana na rushwa. Pia amewataka Watanzania wamuunge mkono badala ya kulalamikia kasi kwani wao wanatamani mwakani aende kugombea kwao...
Back
Top Bottom