Search results

  1. Q

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Kama mkatoliki, nimefedheheshwa na suala la baba askofu KILAINI kuhusishwa nayo! Hii kashfa kwa kanisa hapa Tanzania na Dunia kwa ujumla, Kardinali Pengo tupe mmaelekezo wa kwanza kwa nini Askofu ajihusishe na taratibu hizo za kifisadi! Na kwa nini benki ya kanisa ya mkombozi ihusishwe kashfa na...
  2. Q

    Mikataba yote iletwe bungeni: Mnyika umeongea vizuri sana leo

    Suala la mikataba hewa limeendelea kuchukua sura mpya bungeni baada ya mbunge wa Ubungo John Mnyika kuchafua hali ya hewa kwa kuitaka serikali iwasilishe bungeni mikataba ya uchimbaji wa gesi na mafuta. Ninampongeza mh:Mnyika kwa ujasiri wa kuitaka serikali kuleta mikataba yote...
  3. Q

    Kwanini mtu aliyepata kuwa Waziri Mkuu ni vigumu kuwa rais wa Tanzania?

    Lowasa hakuwahi kujaribu baada ya kuwa waziri mkuu mkuu! Enzi hiyo alikuwa waziri tu! Na sasa ataenda kuvunja hiyo rekodi!
  4. Q

    Eng. Pamela Maassay ni kijana anayefaa kuwa mfano wa kuigwa katika taifa letu la Tanzania

    Yap,ukiacha uwezo,kutokwenda kwenye ule upuuzi uaendelea huko Dom ni uwezo tosha wa kutambua mambo, keep it up!huo ndo uzalendo!
  5. Q

    Huduma ya M- -Pesa imekufa

    Kibiashara huduma ya m pesa kupitia mtandao wa Vodacom imetuharibia, watu wamekuwa wakihangaika kila kona ya nchi kwa Mpesa kutofanya au kusuasau kufanya kazi kwa takriban siku 3.Nafikiri hakuna haja ya advertise M Power wakati huduma mama inatusumbua.If you guys fail please tell us,ili tuhamie...
  6. Q

    Ni kweli Rais Kikwete hapigiwi Mizinga Zanzibar?

    Tukiwa na mambo yetu ya ndani Zanzibar ni nchi, Tukitoka kwenye anga za kimataifa inapoteza hali ya kuwa nchi maana ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  7. Q

    Ubunge monduli mtanange ni kati ya namelo sokoine na izack kadogo

    hatujasikia kama Lowasa hatagombea tena kwa jimbo hilo,kwa hiyo bado tunasikilizia. hata hivyo siyo lazima hao, muda ukifika kuna uwezekano wa wengine kutangaza nia.
  8. Q

    Ikulu: Rais Kikwete hataidhinisha mabilioni ya kiinua mgongo kipya cha wabunge!

    Hiyo ya Lema imenifurahisha, ni sawa hoja yake ni msingi.We sema kiwango hicho ni kubwa sana,ukilinganisha na hali halisi ya maisha ya mwanainchi wa kawida na hata uchumi wa nchi.Nchi yenyewe inadaiwa utafikiri haikusanyi kodi bwana!MP'S angalieni maslahi ya taifa,Acheni uroho. Walimu wanafanya...
  9. Q

    Jaji Bomani umenena:CCM waachane na wazo la Serikali 2

    Wakati ule ni zamani, sasa tunahitaji mabadiliko, nyie wenye fikra mgando msiotaka mabadiliko ndo mnatukwamisha, hao wazee wanaelewa sana tu! wanajua kuwa sasa ni muda mwafaka wa serikali tatu! mabadiliko huwa ni ya taratibu sasa tumefika muda wake!Tunaelewa vizuri sababu zenu! bahati nzuri...
  10. Q

    Tuhuma dhidi ya Mhe. Mbowe kupewa fedha: Hatua za kisheria kuchukuliwa

    Legal action should be taken against these guys as early possible.
  11. Q

    Kamati ya Maadili CCM yatakiwa kuwashughulikia waliotangaza nia

    Jamaa alishasema, hata kwa chama cha jiwe, hizo kelele hazimzuii au kumkosesha usingizi.
  12. Q

    UPI UHALALI wa MOYES pale MAN U!!!

    Heyu kocha hana mvuto toka mwanzo, alivyooamza kandarasi yake pale Old Trafford, inaonyesha wachezaji, mashabiki na hata timu pinzani wamegundu kuwa huyu Jamaa ana uwezo mdogo! Kazi ya kocha kwenye timu kama man kubwa siyo kufundisha mpira, ni kuleta mfumo mzuri na kuwajenga wachezaji...
  13. Q

    Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Not 12% ni 2% ya salary, ukiacha mambo ya muhimu yaliyoelezwa Mimi nilikuwa mwalimu nilyewahi kulalamika sana kuhusu cwt,lakini Hui no chama chenye msaada mkubwa, nilipata matatizo ya kuuguliwa nikapewa rufaa kwenda India kwa matibabu zaidi, Hawa jamaa walinisaidia sana, na ukiacha msaada wao wa...
  14. Q

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    serikali inayoongozwa na ccm
  15. Q

    Kwanini wanaume wengi waliooa hawapendi kuvaa pete ya ndoa?

    wapo wanaume wanaoogopa kupeperusha ndege kwa kuvaa pete lakini wapo ambao huwa wanasahau tu, si unajua wakati mwingine unavua! kwa wanaume pete siyo big deal ndo maana wanasahau kuvaa ila kwa kina mama ni heshima kubwa sana zikionekana zile gold zinangaa pale mkononi tena zote mbili ya...
  16. Q

    Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

    Mh amechoka na purukushani za siku na hawa jamaa wa usalama, hawa jamaa wanatakiwa waelewe kuwa huyu ni kiongozi wa watu na wanatakiwa kumheshimu kama hawo wengine wa ccm,shida ni chama alichopo tu, polisi wamejenga uhasama na chadema lakini kama watashindwa kusoma alama za nyakati watajikuta...
  17. Q

    naombeni mnisaidie hili; Nini hadhari ya mwanachuo kukosa kufanya field?

    Kuna athari kathaa anayoweza kupata mwanachuo kama atakosa kufanya mazoezi(field practical). 1. kushindwa kufanya kazi kwa umakini pale anapoanza kazi kwa ugeni wa mazingira. 2. kushindwa kutoa ushirikiano mahali pa kazi. 3. Anaweza akafanya uharibifu kwa kutoelewa baadhi mambo...
  18. Q

    Mbio za urais 2015:wazanzibar watawavumilia watanganyika?

    wanaweza kujaribu maana hata hao kina Dr salim A salim bado ni wanafaa kuwa Rais wa nchi hii.
  19. Q

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Mufti aelewe kuwa watu wameanza kujua demokrasia ya kweli, kama kiongozi wa dini kazi yake ni kuwatetea badala ya kuwapotosha, namshauri afungue macho.
Back
Top Bottom