Vipeperushi hivi vimesambazwa kwa kasi jana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar vikiwa na ujumbe unaowataka Wapemba waondoke Unguja na kurudi kwao Pemba wakajipange huko kuukataa Muungano.
Sehemu ya waraka huo - angalia kiambatanisho....
UPDATED:
Huyo ametumwa na magamba kuja kujikosha humu. Hata hii tafsiri SIMPLE kabisa kama hii haitambui kuwa MAGAMBA YAMETTI AMRI YA PEOPLE'S POWER!! Sugu aliweka bayana kabisa kuwa huu si upepo, ni dhoruba, na kama nyumba hazitaanguka basi mapaa yatang'oka. Sasa nyumba zinaanguka hata kabla ya NGUVU YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.