Search results

  1. K

    Dunia inaingia katika aina mpya ya USB4 toleo la 2.0

    Hizi USB4 zina speed kubwa sana.Kweli teknolojia inaenda kwa kasi sana.
  2. K

    Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

    Jiko janja wapo Makumbusho wanauza majiko ya induction plate moja na mbili pamoja na sufuria zake pia wanakutumia popote ulipo Tanzania.Watafute kwa namba 0684517275
  3. K

    Samsung imeachia update ya Android 14, One UI 6

    Nimeijaribu kwenye Galaxy S21 FE kwa kweli kuna mabadiliko mengi sana. Features nilizozipenda ni hizi kuweza kutumia one time password ukiwasha mobile hotspot maana yake hutakuwa na haja ya kumpa user password yako ya hotspot unampa password ya muda akimaliza kutumia inabadilika. Nyingine ni...
  4. K

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Maelezo murua kabisa.Tatizo wengi wakisikia jiko la umeme wanaogopa bila kujua lina ufanisi mkubwa kwa sababu linapika kwa kutumia nguvu ya usumaku bila kutengeneza joto linalopoteza umeme.
  5. K

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Original yanauzwa Dar,Dodoma na Mwanza pia wanakufanyia delivery mpaka mikoani.
  6. K

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Masufuria bei yake inanzia 120,000 mpaka 270,000 kutegemeana na idadi na uzuri wake.
  7. K

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Hii plate moja ndogo bei 120,000/= plate moja kubwa ni 150,000/=
  8. K

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Kwa sasa wameleta sufuria zake ambazo ni imara zaidi zinaitwa Non stick pots.
  9. K

    Sasa unaweza kudownload ChatGPT kwenye simu yako

    Nimeiona ni nzuri sana.Utakuwa hujadownload yenyewe kwa sababu hii ni free kabisa na unatumia email ileile unayotumia kwenye webbrowser version yake.
  10. K

    Maalumu kwa watumiaji wa Home Internet (Wi-Fi)

    Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi wanakufungia wiki moja baada ya kujaza fomu zao.Hapa wilayani wameshafungia zaidi ya wateja 30 kwa kipindi cha miezi miwili tu.
  11. K

    Maalumu kwa watumiaji wa Home Internet (Wi-Fi)

    Natumia TTCL malipo ni kwa speed bila kujali utatumia GB ngapi kwa mwezi hata ukitumia TB haikati. 40Mbps ni 100,000/= kwa mwezi 60Mbps ni 150,000/= kwa mwezi. 100Mbps ni 200,000/= kwa mwezi. Ila hata cha bei ya chini kina speed nzuri kwa matumizi ya nyumbani.
  12. K

    Charger Nzuri za Simu

    Connectors gani zinahitajika kupower tv au monitor.
  13. K

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Naona sasa wameweka voice capability kwenye Chrome unaweza kutumia sauti kutuma maswali yako pia ikakujibu kwa sauti kama vile unaongea na mtu mwingine. Link yake hii hapa
  14. K

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Inategemea na fundi aliyefanya configuration ya router wengi wanaweka band moja tu.
  15. K

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Hapana Speedaf wanasafirisha ukichagua Aliexpress stadard shipping.Cainio super economy mizigo itachelewa sana maana hata gharama yake iko chini sana.
  16. K

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Bila shaka utaupata wiki ijayo kama umetumia Speedaf.
  17. K

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Hapa labda unamaanisha 5ghz band ila wao wanakuwekea 2.4ghz peke yake.
  18. K

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Kwa upande wangu nimepokea mizigo mingi kupitia Speedaf bila shida yoyote.Kuna parcel niliagiza May 2 leo May 16 nimepokea huku mkoani.Speed yao ni kubwa sana.
  19. K

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Hapa unamaanisha nini maana router wanaleta wenyewe sijui kama zina support hiyo wifi
  20. K

    Charger Nzuri za Simu

    Nimeona power bank ya Anker kwa kweli ina ubora wa hali ya juu.Lakini bei yake imesimama parefu.
Back
Top Bottom