Search results

  1. M

    Je ni vizuri kutumia Antvirus zaidi ya moja kwenye simu ?

    Assalam aleykum waungwana. Naomba kujua kama kutumia antvirus zaidi ya moja kwenye simu kunaweza kuleta madhara.
  2. M

    play store

    Nili uninstall kwa Bahati mbaya play store kwenye simu yangu kila ninapojaribu kuirudisha kupitia moboginie inakataa.Naomba msaada wenu.
  3. M

    Msaada kutuma mms

    Ndugu zangu naomba nisaidiwe,kila ninapotuma MMS na Audio message zina fail natumia simu NOKIA X2-01 na tumia mitandao AIRTEL/VODACOM.
  4. M

    Hivi nini source ya senene??

    WanaJF naomba nijulishe wadudu aina ya senene hutokea wapi?Maana hapa kwetu Bukoba hutokea kwa musimu nyakati nyingine hawaonekani.Huko wanakokuwa karibu miezi 6 ni wapi wanakula nini wanazaana vipi.Sina shaka nitapata majibu mwafaka.
  5. M

    Hodi!

    Duh! Hatimaye nimeingia.
Back
Top Bottom