Search results

  1. M

    HTC desire 816t: Msaada kuconnect WCDMA

    Sorry nimechelewa kujibu. Simu ina line moja. Model hii ilitengenezwa kwa both single au dual SIM. Hii yangu ni ya single line, so ile slot ya pili ipo blocked toka kiwandani. Na settings zipo kwenye 3G. Thanks!
  2. M

    HTC desire 816t: Msaada kuconnect WCDMA

    APN ipo hivyo mkuu, yaani internet
  3. M

    HTC desire 816t: Msaada kuconnect WCDMA

    Habari wakuu! Natumai wataalamu wa humu ndani watanisaidia. Nililetewa zawadi kutoka china, simu aina ya HTC desire 816t. Specifications zake zinaonesha ina uwezo wa GSM, WCDMA mpaka 4G LTE networks. Na kwenye mobile network settings nimeselect option ya GSM/WCDMA auto, lakini muda wote simu...
  4. M

    Wajapan vipi (JICA)

    Ambaye anapafahamu vizuri ashee tafadhali kama hata-mind. Salary structures; mazingira ya kazi, n.k
  5. M

    Wadada Wengi Wa Mjini, Watoto Wa Masikini Tunaishi Maisha Yasiyompendeza Mungu! Mungu Tusaidie!

    Materialism vs Matter-realism... It's a never ending battle, since the time of John the Baptist. ...But ye shall know the truth and the truth shall set you free. I hope everybody knows the truth the easy way. And I hope my dear lara 1 knows what realy matters before it's too late..
  6. M

    David Beckham retires from football

    Bonya Hapa
  7. M

    Hivi ni kwa nini watu wanategemea au kulalamikia Serikali ?

    this is Natalia kwa wale msiomfahamu. Ngoja niangalie namna ya "kujiunga na mataifa ya nje" ila sjui naanzaje?
  8. M

    Sorry kama utakuwa offended:Hivi kwa nini walokole wanafiki sana kimapenzi?

    we mwanamke unaishi marekani lakini upo backward hivyo..je ndugu zako kule milimani watakuaje! nenda kwa huyohuyo google utakuta hoax za almost mtu yeyote maarufu. hiyo ipo loooong time,especially teleevangelist wakubwa walio openly anti-homosexual wameandikiwa hoax nyingi sana ranging from tax...
  9. M

    Nimeumizwa

    Pole! Wewe si wa kwanza na huo hautakua mwisho wa maisha. Infact huo ni mwanzo sasa wa maisha. That is PAST na it doesn't have to ruin your present and FUTURE! Pokea ushauri wa wote waliokushauri kuyachukua kama yalivyotokea kama njiwa , snowhite na yafananayo. Jipanguse na songa mbele. Hata...
  10. M

    Shemeji yangu mchokozi

    Dah una nyumri mbili wewe? Hapa ulisema una miaka 24
  11. M

    Mume wangu karogwa.

    UAMSHO at work....
  12. M

    Describe your ex only with movie titles..

    hee umeshafika posta nini? Au mjomba ana intanet kefu? Karibu sana daslama
  13. M

    Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    Kweli King'asti ? Pamoja na kile kifuko chake? Imagine kama sewer system ndo inaishia baharini si bahari itajaa mapulizo?Nitajaribu hivyo. Watu wengi wanasema isiwe flashed chooni bla bla...ikawa inanitatiza sana. Huku kwetu gari la taka magumashi yaani hata pampas za mtoto imebidi kulitafutia...
  14. M

    Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    Mada elimishi sana hii. Mie kwa kuona kwangu kuchahce madhara yanayowapata wanawake,tulikubaliana na wife kutumia kalenda. Challenge ni kuwa wife callendar yake ipo tricky ile mbaya,so tuna-reinforce kwa mipira bana kuongeza uhakika.Sasa mipira inanikwaza kitu kimoja...DISPOSAL. Wanaume...
  15. M

    Sokoine na Kolimba, vifo vyao vilimkera Mwalimu kiasi gani?

    Haa wewe wa wapi tena ndugu? Hivi kweli huelewi umuhimu wa historia? Assumption zangu zilikua...yeyote anayeweza kugonga key-board ya computer bongo hii lazima awe amepitia somo la historia japo kwa kiwango cha primary school. Wew vipi tena? Nadhani hii platform imekuzidi kimo,tafuta nyingine...
  16. M

    Knock knock knock!

    Hodi hodi wanajamii! Nakaribishwa humu bila shaka. Asanteni!
Back
Top Bottom