Search results

  1. M

    Mke wangu ameziona chatting za hawala yangu mwenye HIV

    Hii chai tuu kuna cipro kwa ajili yakukingwa na mambukiz, au ni pep acha story za uongo
  2. M

    Wale wanaume wenye tabia hiz waje tuzungumze

    Msukuma Wa ziwanii [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  3. M

    Wale wanaume wenye tabia hiz waje tuzungumze

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ,unakuta kidume una bint, afu bint anajaribu kupiga mizinga unakubal utamkelezea ila unakula chenga had ye mwenyewe anakata tamaa au anajiongeza,[emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] ,au bint anakomaa ooho cjui Tufunge ndoa ndio mimba, bas sis wajanja...
  4. M

    Mwanaume mwenye tamaa ya mapenzi mimi nachefukwa kabisa

    Hapo unapaswa ujiongeze kama mwanaume had ndan anataka tafuna huko nje atakua kicheche mzur, jitahid kuongea naye na umpe mapenz moto moto kutokana na hali yako ata umlete ndugu yake kama kicheche nae atamtafuna tuu wangap tumeona wanatembea na ndugu zao pole sana yan hapo Huyo kicheche...
  5. M

    Mke wangu kajifungua, ni zawadi gani itamfaa kama shukurani?

    Mkuu naomba niwe tofauti kidogo, hi story katunga ila nzur nimeipenda mana inafundisha wanaume kujua majukumu yao pind MKE anapojifungua, huyu jamaa June alidai kamaliza form 4 anaomba ushaur atakapoenda chuo asomee nn sa iv MKE kajifungua, jf kwa story zakutunga hamjambo, mi ni hayo tu
  6. M

    Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

    Mkuu nahis ww ni boy na cyo mwanaume, yan mapenz yako kuyaleta kwenye mitandao itasaidia nn, kama kweli ulitaka mrekebisha ungetakiwa umwambie huko chumban kua sipendelei mawig napenda Nywele zako natural, huko ndiko kutaka kuendana na mpenz wako, sappose huyo demu wako yuko humu atajisikiaje...
  7. M

    Huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia harufu yako ya marashi..

    Aisee we unautani na ninahis ww ni boy na cyo mwanaume na kama hi story niyaukweli bas hujielew hakuna urafiki kat ya me na ke ,mana kitendo cjui chakukimbizana cjui kumbeba cjui mnachat cku moja lazima mngonoke na kama kweli ulikua unampenda mpenz wako usingezubutu kumpuliza ungesubir watoke...
  8. M

    Ushauri: Anataka kuzaa na mimi hali ya kuwa ana mke

    Madamu unaincubator fyatua watoto na mume Wa MTU ukidai wanaume wachache wakat tunaona kila cku watu wanaoa nakuolewa huyo mjanja hana mpango wakuongeza MKE anataka ubebe mimba afu atakupiga sound halafu anakutunza miez ya mwanzo afu anajua jins gan atakimbia afu cku mkewe akizaa utajua faida...
  9. M

    Wivu umeniponza

    We akili huna unahongaje kiboya then utamuachaje kiboya man arudishe chenji zote tuu bahati nzuri ndugu wanalijua hilo so fight zirudi tuu hizo hela kk.but jifunze lkn kuhonga kiboya!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Huyu mwanaume simwelewi kabisa

    Soma nyakat mapema, yupo kimaslah zaid, yan ukikosea ukapata na mimba hapo ushatelekezwa, chakula hawez kuchangia au kukujal kama MKE mtarajiwa unadhani kuna ndoa hapo ,kua makin wanaume weng c wastarabu, u eat u ran ndio walioweng Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Nimeombwa ushauri-naomba mnisaidie

    Kutokana na story ilivyo huyo mwanaume Afya yake anaijua vizur niseme lily ni kipofu Wa mapenz na anachokitafuta atakipata kitendo cha upendo kuegemea kwa lily tuu hapo lipo tatizo, pia kitendo cha mwanaume kumwambia ukinikuta Nina HIV utaish na mm au utaniacha mwanamke mwenye akil lazima...
  12. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    Popote ila humu ni kua makin nafikir wako watu walileta uz wanatafuta wachumba wake na waume weng wanawapm Weng wameishia kulizwa mana wanaowapm ni waume za watu, wake za watu, matapel Wa papuch, na kuna wengine wamekua wakileta mrejesho kua wameumizwa kutokana na yaliyomkuta huko, so umakin tuu...
  13. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana kakuambia nan kua hiyo ndio ID yangu poleeeeeee Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  14. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    Sawa mkuu wengine hujiwa pm akijua Bint kumbe mmama mzee anamlia Ela badae anakuja kulia huku badae niwachache sana huku ambao watakua wakweli Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  15. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    Cyo story kama hua unasikiliza clouds FM huyu Dada alijitokeza na akajieleza ndio mana nawashitua na wengine wanaotumia njia hiyo kua makin kuliko akili zao Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  16. M

    Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

    Kwa nn mwanaume asizae, mwanaume anaweza kuonekana mwanaume kwa nje ila kiundan ni ana maumbile yote ya kike na hata ma ovary anayo na akitoka na mwanaume mwenzake anapata mimba ila atazaa kwa kupasuliwa au kawaida itategemea yy anatakaje Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  17. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    Ndio mana nimesema mwenye masikio na asikie mana toka nimeijua jamii forum ni mmoja tuu aliwah pata MKE huku na akaleta mrejesho wengi huishia kulizwa Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  18. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    Walijua nae mwiz ni typing error ni kua makin Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  19. M

    Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

    Kama kichwa kinavyojieleza, Ni kuwa kuna watu hujitokeza kutafuta wapenzi, wake, waume wengi wameishia kulizwa na kupata mateso mbali mbali, kuna dada mmoja alikua anatafuta mume, alipata kweli, walichat na jamaa kama mwaka walionyesha mapenzi ya kweli kumbe jamaa alikua jambazi sugu na alikua...
  20. M

    Clinical officers na Md njoo hapa mnisaidie kitu

    Sasa hiv kusoma degree kama ulisoma co lazima ufanye mitihan ya five na six ukifaulu utasoma degree kama umeunga cjui cert diploma degree huipat kama unacredict apply moja kwa moja md
Back
Top Bottom