Search results

  1. B

    Nyumba inauzwa ajentina manzese

    Za jioni, nyumba inauzwa ajentina manzese. Ina hitaji marekebisho kidogo sababu ilipata kuungua moto kidogo upande Mmoja.ina crumbs sita,frem na kibaraza mbele, jiko na store na vyoo bafu viwili kwa nje na inahati ya miaka 99.bei million 60,000,000 ila mazungumzo yapo.ataetaka kuona anitext...
  2. B

    Kwa anayejua hawa Kopa Mali foundation

    Wakuu mambo vipi, Kuna yeyote anaewajua hao jamaa Kopa Mali foundation wanahusika na mikopo ya bajaj, pikipiki na pesa.
  3. B

    Anaeijua Kopa Mali foundation atujuze tafadhali

    Habari za asubuhi waungwana, Hawa Kopa Mali foundation wanahusika na ukopeshaji wa vitu kama bajaji, pikipiki, gari Noah na pesa. Mwenye kuwaelewa vizuri hawa jamaa tafadhali atujuze
  4. B

    Msaada wa Bank inayotoa mikopo kwa kuweka Bond viwanja tu

    Za jioni Wakuu.ninataka kukopa two million ila sinakazi wala biashara ila na kiwanja chenye thamani ya million 12 hivyo mwenye kujua bank inayotoa mikopo ya pesa Kwa kuweka Bond viwanja,plz nijuzeni wakuu.nataka nifanye ujasiliamali
Back
Top Bottom