Nyumba inauzwa ajentina manzese

black nigga

Senior Member
Sep 9, 2016
157
86
Za jioni, nyumba inauzwa ajentina manzese. Ina hitaji marekebisho kidogo sababu ilipata kuungua moto kidogo upande Mmoja.ina crumbs sita,frem na kibaraza mbele, jiko na store na vyoo bafu viwili kwa nje na inahati ya miaka 99.bei million 60,000,000 ila mazungumzo yapo.ataetaka kuona anitext wasap no hii 0623-122687.nimeshindwa faham namna ya kuweka picha humujf
 
Back
Top Bottom