Search results

  1. nnunu

    Mtoto kutopenda kuvaa chupi

    Itakuwa Karithi huyo.....Pamoja na uzee wangu. Nami pia sipendi kuvaa Chupi. Ila naivaa kwa lazima, lakn siyo kwa hiari . Yawezekana nina udugu nahuyo mtoto .......
  2. nnunu

    Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

    Wat?!!! Ha ha ha ha mbavu zangu miye.....asante sana, nilikuwa na wiki moja sijacheka kicheko cha kunitoa machozi . Asante sana.
  3. nnunu

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    THINK BIG kimeleta mabadiliko mazuri kwangu na wanangu pia.
  4. nnunu

    Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Hivi hao wanaowakosoa watu kwa makabila Yao...je upande wa makabila Yao WAMEKAMILIKA KITABIA?..... Viumbe mbona wazito?, HAKUNA BINADAMU MKAMILIFU, sisi wote tuna mapungufu yetu, TUVUMILIANE TU. KUKASHFIANA HAKUFAI. Kumbuka unayemkashfu leo ipo siku ATAKUFANYIA CHECKUP YA PUMBU/MBOO au ----...
  5. nnunu

    Cancer inachukua maisha yangu

    Pole sana sangalala, mungu akupe moyo wa imani, uvumilivu, matumaini, na kikubwa zaidi akuondolee maumivu. Nakupenda nipo pamoja nawe kwa imani, pole sana.
  6. nnunu

    Mwanamme mbahili pia mchoyo

    Thread hii imegusa kumoyo... mwanaume mchoyo na mbahili msikie tu manake mmmh!..... Nataman mwanaume mmoja ambaye ni member wa humu ndani aisome hii thread. Manake ni mbahili sana. Anachochangia yeye ni juhudi za kwenye 6 kwa 6. Ila naamini hata akisoma hatabadilika ksb mara nyingi ameambiwa...
  7. nnunu

    Vyakula vya kusaidia kuzuia kansa ya matiti!

    Asante sana, mungu azidi kukubariki na kukuongezea miaka mingi ya kuishi.
  8. nnunu

    Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Samahani, namaanisha MUNGU yupo pamoja nawe.
  9. nnunu

    Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Pole sana ndugu yangu, amini yupo pamoja nawe.
  10. nnunu

    Faida ya tunda la karoti

    Asante sana.
  11. nnunu

    Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

    Asante sana kwa elimu utupayo naamini wengi tunafaidika nayo. SAMAHANI, HIVI INAFAA KWA MTU MWENYE NGOZI YENYE MAFUTA MENGI USONI, KUPAKA UJI WA TUNDA HILI USONI ???. Jibu lako litani/tusaidia kupaka au kutokupaka usoni. Napenda kula hili tunda ksb nimezaliwa na kukulia sehemu ambayo...
  12. nnunu

    Umuhimu na faida ya kula matunda na mboga majani

    asante, mungu akusaidie kutimiza mipango yako, ili hivyo vitabu viwe msaada kwetu na vizazi vyetu vijavyo.
  13. nnunu

    Umuhimu na faida ya kula matunda na mboga majani

    Asante, je una vitabu au kitabu ulichotoa kinachohusiana na mambo ya chakula?, au tiba mbadala?, na kama jibu ni ndiyo, je ki/vinapatikana duka gani la vitabu kwa hapa dar es salaam ?.
  14. nnunu

    Shambulizi la moyo (heart attack)

    Asante mzizi mkavu, kwa elimu unayotupa, binafsi nafaidika sana nayo. Ubarikiwe zaid, na uishi miaka mingi yenye afya njema, ili tuendelee kuipata elimu yako.
  15. nnunu

    Kanumba: Hollywood Nao Walonga!

    Kifo kinauma sana, na maumivu yake hayazoeleki. R i p kanumba
  16. nnunu

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    Haya ndiyo madhara ya kutamka neno ambalo, haujafikiria madhara yake baada ya hilo neno kutoka, ....pole sana mh mlata, ila nahisi kupitia maneno yako hayo, umejifunza kitu....
  17. nnunu

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Kifo hakizoeleki kinauma sana. R i p kanumba, bwana alitoa na bwana ametwaa. Amen
  18. nnunu

    Anayefahamu hii namba ya simu +4915145132077anijuze

    achana nao matapeli, ,mi mwenyewe wamenitumia leo alfajiri kwa kutumia no 44 703-3595-5685 na nokia-verificational@hotmail.co.uk . matapeli hao ntashindaje kitu sijawahi kushiriki?? wapuuze tu hao watapeli wa mtandao halafu bado washamba kwani huo utapeli ushapitwa na wakati, hawana hata...
  19. nnunu

    Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

    Asante kwa ujumbe mzuri, na hongera sana kwa kuyaelezea vizuri. Shukurani sana, uzidi kubarikiwa zaidi ili tuzidi kupata elimu zaid. Shupriya......
  20. nnunu

    Bendera kwenye mahoteli zina maana gani?

    BENDERA ZINAZOWEKWA KWENYE HOTEL NA HASA ZILE ZA NYOTA ZA JUU KABISA, ZILE BENDERA ZINAONESHA KUWA HIYO HOTEL INAPATIKANA HATA KWENYE NCHI YA BENDERA HUSIKA. KWA MFANO UKIONA NJE YA HOTEL KUNA BENDERA YA S.A, USA, KENYA,UK,FRANCE,GERMAN INAMAANA HIYO HOTEL INAPATIKANA HATA KWENYE HIZO NCHI...
Back
Top Bottom