Search results

  1. newtonfox

    Msaada: Nataka simu itume SMS kwa zaidi ya watu 10

    Kuna App uwa Natumia Kutumma zaidi ya watu 2000+ inaitwa Multi Group Sms iko playstore yakulipia japo unaweza pata apk moded ukitumia google
  2. newtonfox

    Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

    Unakuta wanaolalamika Ni wachezaji wa Magame kama FORTINITE NA PUBG sasa kama wewe utegemei fanya izo mambo relax nunua simu
  3. newtonfox

    Programming

    Soma Programming Language Kufuatana na Kile unachoenda Kufanya Hii Picha Nimeambatanisha itaweza kukuonyesha Usome lipi kwa Kazi ipi. Quality nzuri kwa Link hapo>>> https://tinyurl.com/Kazikazi
  4. newtonfox

    Kwa android gamers wazee wa FPS

    Dah kuna hii MOBILE legends nani alisheza nimekua addicted nayo kinoma
  5. newtonfox

    Netflix Lifetime Membership, Free For Life

    Leta screenshot isije ikawa MOvieBox Modded apk yenye Logo ya Netflix, maana unakuta ni modded na umeweka script zako kwa ndani kama za Ku hack Information au Ads
  6. newtonfox

    Ni aibu kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna mfumo wa kupokea pesa kwa Paypal

    Tunajenga Hoja tukitafuta solutions za Malipo wapo wakina Pesapal, ePesa lakini the best method na secure kwa sasa ni Paypal watu wa Amazon kutoitumia sio tatizo maana AMAZON is Based in USA Sasa sisi kwa Tanzania ,unadhani ipi method itafaa mzee wa Software Engineering
  7. newtonfox

    NINUNUE SIMU IPI USHAURI

    Walisha solve wali sign makubaliano upya Na Google, kwa iyo zitaendelea kutumia Android
  8. newtonfox

    Ni aibu kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna mfumo wa kupokea pesa kwa Paypal

    Kweli Refund uwa Inarudi ndani ya Siku 5 za Kazi ,niliona iyo kwenye MPESA MASTERCARD
  9. newtonfox

    Ni aibu kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna mfumo wa kupokea pesa kwa Paypal

    Cryptocurrenciew ikianza tumiwa na Amazon ndio utasema Ulimwengu umefika Hapo Kama Giants awajaruhusu iyo method of payment,paypal ndio suruhisho kwa sasa
  10. newtonfox

    NINUNUE SIMU IPI USHAURI

    Nunua Infinix S4 iyo iyo ina kubwa ake ya RAM 6GB INTERNAL 64GB , wanaanzia 420,000 kwa 400,000 utapata
  11. newtonfox

    Anahitajika mtaalam wa IT

    Knowledge Ghani ya IT maana mm IT ulimwengu mzima naweza Kuja na Laptop kumbe kazi yenyewe Office automation ; Kazi ya Online - mhh elezea tuje na Modem Kabisa isije ikawa kazi yakudownload Movies na Audios
  12. newtonfox

    Ninapoingia online, PC yangu inaniletea matangazo (ads) ambayo siyataki

    Download ADWARE REMOVAL TOOL from Malware bytes ita scan kisha ikirestart mashine Computer inakua Poa https://www.malwarebytes.com/adwcleaner/ Ukimaliza Install Adblocker kama Addons kwenye Browser yako ya chrome n Firefox
  13. newtonfox

    Nahitaji CD ya Canon ir 2020

    Google ni rafiki wako wa karibu kwanini usidownload Sent from my iPhone using Tapatalk
  14. newtonfox

    Google AdSense

    Kwa hiyo ume apply Ads bila kujua unachofanya Mkubwa Nadhani ungefuatilia Videos youtube na ukafanya Research kwenye Google ukapata Mwanga zaidi kuliko APPLY kitu then haujui kinafanyaje kazi kwa ufupi kuna Codes una Generate Pia kuna maswala ya CPM
  15. newtonfox

    Software ya kufunga dvd wakati wa kubani ili zisikopiwe

    Mkimaliza kuifunga ntumie copy MKOANI tuone kama sinto ifungua [emoji23]
  16. newtonfox

    Software ya kufunga dvd wakati wa kubani ili zisikopiwe

    Na software ya kufungua izo DVD ili zikopiwe ni ISOBUSTER
  17. newtonfox

    Anayefahamu kuhusu biashara ya Q-Net

    Umekuaje Mkuu ?! post yako ya Pili kama Sio yatatu unazungumzia swala lile lile Kuna Jamaa yangu licha ya kumkatisha tamaa ya kujiunga kwenye Q-net bado anaendelea kunisumbua Kuna Jamaa yangu licha ya kumkatisha tamaa ya kujiunga kwenye Q-net bado anaendelea kunisumbua - JamiiForums ☹️
  18. newtonfox

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Solid Explorer 2 https://play.google.com/store/apps/details?id=pl.solidexplorer2
Back
Top Bottom