Search results

  1. K

    Kadiri muda ulivyosogea ndivyo wakosoaji wa Magufuli walivyozidi kuongezeka

    popote alipo mungu asikie kilio chake,kama yupo mateson bas mungu amsimamie
  2. K

    Special thread: Orodha ya viwanda vikubwa vilivyo anzishwa awamu ya tano

    naona mauzauza tu Post sent using JamiiForums mobile app
  3. K

    Special thread: Orodha ya viwanda vikubwa vilivyo anzishwa awamu ya tano

    napita tu,maana mnanitia hasira tu Post sent using JamiiForums mobile app
  4. K

    Rais Magufuli futa tawala za serikali za mitaa

    mh..ngoja nipite kwanza,nitarudi baadae
  5. K

    Kumbe wachina walitaka kutupiga kwenye Reli kama walivyofanya kwenye Bomba la Gesi

    liverpool jana walikubali kichapo cha nje ndani toka kwa southampton EFL..
  6. K

    Rais na UKAWA wameshirikiana "kuiuza" UDA kinyemela, sasa ni wazi UDA ni kaburi lisilofukulika

    hii nchi,kila jitu linawaza kuwaibia watu wa hali ya chini..
  7. K

    Attack za CCM Mtandao vs. CHADEMA Mtandao

    heri yako umeona mbali
  8. K

    Mkuu wa Wilaya ya Kongwa apiga marufuku wananchi kutumia nafaka kutengeneza pombe

    huyo mkuu wa wilaya kapiga viroba nini??hivi hamsikilizi hata mwajiri wake??ninamshauri akasikilize hotuba ya mwajiri wake akiwa simiyu.
  9. K

    Lowassa anahitaji muda kuzoea siasa za mchangani

    nashauri,kama uwepo wa upinzani na fikra tofauti na za siri-kali ni dhambi..basi ni bora tufute vifungu vya sheria ya mwaka '92 ndani ya katiba ya jamhuri ya muungo wa tz na turudishe vile vifungu vya chama kimoja,mgombea mmoja..
  10. K

    Humphrey Polepole, fikisha ujumbe huu ngazi za juu

    ukitaka kumtawala mtu yeyote duniani.. 1:mjengee hofu juu ya maisha yake na shughuli zake 2:mnyime elimu na uhuru 3:anza kumkejeli kwa majivuno yako na kujipaisha kwa kujipa sifa zisizostahili.. hayo ndo ccm inawafanyia watz walio wengi..
  11. K

    Mpaka sasa Wizara zilizohamia Rasmi Dodoma

    watakwambia bado wapo kwenye mchakato,maana mda wa uongoz unaisha 2020..teh teh teh
  12. K

    Walimu waitaka serikali ilipe malimbikizo ya trilioni1.060/-

    ni bora muwe mnanyamaza tu kuliko kila kukicha kutupigia makelele kwenye vyombo vyetu vya habari kwa porojo zenu..nyie ni watu wa seminar za elf 20 per day kwa mda wa siku 2 mnatulia..endeleeni kutulia hivyo hivyo!!!
  13. K

    Polisi kuwapa kichapo wanahabari ni kinyume na taratibu za kimataifa

    jana usiku ulikula nini??maana umeamka na akili timamu kwa leo...lakini sijui kesho utaamkaje!!
  14. K

    Humphrey Polepole njoo unijibu haya maswali kuhusu CCM yako

    huyo polepole akizeeka,nahisi atakuwa joka la mdimu..
  15. K

    TZ yetu ya viwanda inazidi kushika kasi!

    tunataka viwanda vya mataili,viwanda vya mikonge,viwanda vya nguo,viwanda kukamua/sindika matunda,viwanda vya kusindika nyama/samaki na ngozi,viwanda vya kutengeneza viatu...sabuni tunaweza kujitengenezea wenyewe majumban mwetu,pia sabun zipo nyingi.
Back
Top Bottom