Search results

  1. MJUMBE WA AMANI

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu! Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia painkiller na neurobion na kuambiwa tatizo langu litaisha.Cha kunishangaza hali inajirudia rudia.Sasa tatizo...
  2. MJUMBE WA AMANI

    Nimejiuliza sana hili swali kuhusiana na Jf

    Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums? Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale. Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana...
  3. MJUMBE WA AMANI

    Usaliti: Nusura niue mtu hii weekend

    Mabibi na mabwana wa JF salam! Ni imani yangu kwamba mmekuwa na weekend njema na yenye utulivu nawapongeza sana na poleni kwa mliokumbwa na dhoruba za maisha kama mimi.Binafsi hii weekend haijawa nzuri kwangu kwani ilibaki chembe kabla sijampeleka mtu kuzimu. Mungu wangu! Pengine mida hii...
  4. MJUMBE WA AMANI

    Washirikawa JF, amani iwe kwenu

    Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom