Search results

  1. S

    Kosa la Odinga na ushindi wa Kenyatta... tunalo la kujifunza

    No comment!!!!!lets wait n see
  2. S

    Chadema wameliona hili?

    JAMAAAANIIIIIII!!! mbona mnabishana na huyu Mbayuwayu au mmesahau mada za muhimu kuusu katiba na jinsi ya kupata ukomboziiiiiii,atakaye endelea kumcoment mbayuwayu pia kwani mada yake haina Mashiko kwa mustakabali wa Taifa:A S-frusty:SHUT UPP!!!!!!!!!!!
  3. S

    Wahenga waliliona hili la Kikwete na viongozi wa dini

    great critical tinker,umekomaa katika tasnia ya uchambuzi,safi saaana!!!:A S 103:
  4. S

    Wahenga waliliona hili la Kikwete na viongozi wa dini

    nimekaaa kimya kwa Muda ila wewe kijana unaonyesha huna hekima na kama unashule aikusaidii chochote,je unadhanii wote mana JF tunadhamini upimbi wako,kabla hujatoa coment think Big like wise and give out concrete argument na sikuwa kama vuvuzela,kimtazamo Rais anaongoza kikuku nathani umenielewa...
  5. S

    Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

    asante sana kaka kwani umenena kwani huyu jamaaa ni fisadi pia kwani hawezi kuvaa kofia mbili kwa wakati mmoja nahoji,je kazi za mkuu wa wilaya anafanya nani mudaa huuu anaofanya propaganda?au ndokula kodi ya wananchi masikini kwa mishahara isiyo na tijaaaaaaaaaa,inauma sana ndugu zangu:A S 103:
  6. S

    Je makongoro kupinga baraka za mama nyerere juu ya chadema ni uoga au katumwa?

    jana nimeangalia Taarifa ya habari ya jioni Saa 2 TBC ikatoa habari ya kikao cha CCM huko musoma juu ya kipi kimesababisha Musoma karibia majimbo yote kushikiliwa na Chadema na hapo ndipo niliposhangaa kumwona Makongoro nyerere kujigamba kuwa Familia ya Baba wa Taifa haungi mkono CHADEMA kama...
  7. S

    Hasira za Wazanzibar kuchoshwa na Muungano

    kuishi kwingi kuona mengi,tunajua umetumwa na mchawi aliyekuloga ameshakufa kitambo,me sijui wewe umetokea chimbuko gani na wa enzi gani,kwanza kwa taarifa yako nimebaini njama yako ya kuleta mfarakano je utapata faida gani kuona vurugu na chuki dhidi ya waislam na wakristo inatokea,najua akili...
  8. S

    Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    wewe jaykey,hizi picha umefoji kwani huyu bibi anayetabasamu na kicheko hapo ni bibi yangu na niko naye huku Morogoro na hajawai fika mbeya tangu azaliwe,jitaidi kuwa na busara katika kuleta mapinduzi katika taifa kwani propaganda zisizo na tija ndiyo zimetufikisha hapa tulipo,hebu jifunze kuwa...
  9. S

    CHADEMA yamtikisa Maige, alazimika kukimbilia jimboni

    SASA WANA JAMIII NDIYO TUJUE UMUHIMU WA MAANDAMANO,JE ANGEPATA MUDA SANGAPI KUDHURU JIMBONI KWAKE KAMA SIKIFO CHA NYANI?UNAJUA HAWA VIONGOZI NI WANAFKI SANA NA WANATUMIA UDHAIFU WA WANANCHII KUWADANGANYA KWA MAFUMBO NA KEJELI SIZIZO NA MSINGI,KWA KIFUPI CCM WAMELOWA NA HAWANA JIPYA NA SIDHANI...
  10. S

    Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

    kifo cha nyani miti huteleza,sionii cha ajabuu Huyu Mama kuropoka kuwa Muheshimiwa Lema alikosea kwaniiii katumwaa na yuko pake kama skeleton kukilinda chama na Mungu amemuumbua jamaniii inatia aibuuu sana hiiiii na Tanzania hii Mungu ndoanalipaaa sasa kwani anasikia vilio vyetuuuu na badooo...
  11. S

    Ni zamu ya dar or?

    "The difference between ordinary and extraordinary is that little extra" inaonyesha yeye amepungukiwa busara na wewe unayo,so katika msafaraa wa mamba kenge pia wamoo, msamehe buree ila namwombaa asirudie kwaniii yeye ni mtu mzima na kajua kosa lakee ahsante:wink2:
  12. S

    Jamani spika ni muoga au!?

    nduguuu wana JF huyuuuu mama anaongozwaaa na siii anaongoza kwaniii hamjuiiii hili,yeye anapelekeshwa kama remont controler na hama maamuziii kama ya our former Honorable SAMUEL SITA na asipojibadilisha ataangukia puuwaa kwanii analeta UCCM ndanii ya Bunge,kiukweliii Pinda alichemka na amepotea...
  13. S

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    nimeamuuuua kupasuka mkereketwaaaa najisikia furaha sana kuona chuo cha IFM kimebadili misimamo na kugomea zulma za management kwaniii kipindii chetuu wanafunziii ukianzisha mgomo wa maslahiiii huoniii mtuu freedom sqr ila mgomo ukihusuuu msosii kanteen utashangaaa wametokea wapiii kwani...
Back
Top Bottom