Search results

  1. Loyal_Merchant

    Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    First lady wa kilinge. Upoo..?? Long time no see.
  2. Loyal_Merchant

    Mama ameamua kunitesa kwenye mahusiano na Baba anaunga mkono

    Swali la kwanza, huyu unayempenda wewe anajua kuwa mama mkwe wake mtarajiwa hamuafiki.?
  3. Loyal_Merchant

    Msaada: Benki yenye 3D verified by Visa.

    Thanks, mwingine mwenye kufahamu benki yenye hiyo huduma.?
  4. Loyal_Merchant

    Msaada: Benki yenye 3D verified by Visa.

    Barclays masharti yao ndo yapoje.?
  5. Loyal_Merchant

    Msaada: Benki yenye 3D verified by Visa.

    Jamani, nahitaji msaada nataka benki yenye visa card zenye hii feature. Maana site nyingi za online zinahitaji kadi zenye hii feature. Maana benki yangu pendwa Kwa issue za online banking, BancABC hawana hiyo huduma ya verified by Visa
  6. Loyal_Merchant

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wengi wasichokielewa ni kwamba madrid baada ya kupata mafanikio aliyopata ndani ya miaka mitano iliyopita, ni kwamba ameamua kusuka upya kikosi chake kwa kukusanya wachezaji ambao watakuwa pamoja kwa miaka mitano ijayo. Tofauti na watani zetu Barca ambao baada ya retirement ya Neymar, Xavi &...
  7. Loyal_Merchant

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hahahaaa, na nyie si mlisota miaka zaidi ya 10 bila kueleweka. Mlikuwa mmejaza waholanzi tuu. Na mpaka sasa hamueleweki kwani naona mnafanya panick signings. Kitendo cha kusajili Paulinho, kisha ndani ya miaka miwili mnamtoa mtu huyohuyo mmemtoa kwa mkopo.
  8. Loyal_Merchant

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Siyo kila siku lazima ushinde, kuna muda wa kupumzika. 3 UCL in a row siyo kazi ndogo. We have overachieved in every angle kwa miaka hii mitatu. Sitoshangaa tukikaa hata misimu mitatu na zaidi hatujachukua major trophy, kwani kwa sasa timu bado inasukwa kama nilivyokwambia. Ingawaje tukichukua...
  9. Loyal_Merchant

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wengi hawaelewi kuwa mpira ni sayansi na how you plan, jinsi unavyoplan ndivyo itavyokiwa most of the times. Wengi walizoea kuiona madrid yenye Galacticos na kipindi hicho Galactico akisajiliwa alikuwa Galactico kweli, from Figo, Zidane, Beckham nk walikuwa wanaipa timu faida either ndani ya...
  10. Loyal_Merchant

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hakuna anayedanganyika na preseason. Real Madrid is more than a club na to tell you the truth timu kwa sasa ipo more balanced kuliko alivyokuwepo CR7. Fans wa madrid toka enzi za Lorenzo Sanzi tunaelewa nini perez na Lopetegui wanafanya kwa sasa, ila wale waliokuwa fans wa madrid baada ya CR7...
  11. Loyal_Merchant

    Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

    Afike mbali wapi.? Sasa hivi yenyewe yupo mbali. Ana makombe yote uyajuayo ambayo timu zake za taifa na klabu zimeshiriki. Mbali zaidi ya hapo ni wapi.?
  12. Loyal_Merchant

    Kigogo TPA, Prosper Kimaro afikishwa mahakamani kwa kumiliki nyumba 23 na magari 7

    Hivi kama serikali ikishindwa kuprove mahali alipoiibia hizo pesa, huyo jamaa atashitakiwa kwa kosa gani.? Au kumiliki mali nyingi ni kosa kisheria siku hizi.? Hivi kama mimi ni mwizi, ni jukumu langu kujitetea kama mimi sio mwizi, au ni jukumu la serikali kuthibitisha wizi wangu.?
  13. Loyal_Merchant

    Xiaomi Mi band 2

    Kasema kaagiziwa, ulitaka aliyemuagizia apate vipi faida.? Kama unaweza agiza mwenyewe.
  14. Loyal_Merchant

    Kwanini simu za Samsung zinavunjika vioo kirahisi sana?

    Samsung vioo vyao vipo overpriced na soft sana, iphones zinavioo vigumu kuliko samsung.
  15. Loyal_Merchant

    Msaada laptop dell gafla haiwaki shida nini?

    Ni dell model gani.? Kwa haraka haraka fanya hivii. Itoe laptop katika chaji, toa betri ya laptop iweke pembeni, bonyeza button ya kuwasha laptop kwa muda wa takriban kama dakika moja bila kuiachia. Baada ya hapo rejesha betri katika laptop na uiwashe. Kama haijawaka hapo weka model number ya...
  16. Loyal_Merchant

    RC Makonda: Ukimpa ujauzito mwanamke mkoa wa Dar es Salaam ujipange

    Na swali la msingi ni kwamba, mtathibitishaje kuwa mimba aliyoibeba huyo mwanamke ni ya huyo mnayemtuhumu kuwa ndiye aliyempa mimba huyo mwanamke.? Naona dalili za kushindwa kwa hili kabla halijaanza.
  17. Loyal_Merchant

    Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime: Maisha Yangu yako hatarini

    Angeweka hiyo video clip ingependeza.
  18. Loyal_Merchant

    Vigogo wawili dawa za kulevya kupandishwa kizimbani

    Nyumbani kwake ni pale karibu na shentembaa ilipokuw, mtaa wa pili kabla hujafika kanisa la pinda na wakawekaga cover story ya kuuza magari ya dili. Ilikuwa ukipita unakuta watu nyomi na magari nyomi, kama vile haitoshi wakafungua na drug rehab center kama cover.?
Back
Top Bottom