Search results

  1. Keyshia

    Natafuta nyumba maeneo ya sinza, kijitonyama, kinondoni

    Habari zenu, Natafuta nyumba ya chumba kimoja self, kuwe na choo cha wageni, sitting room na jiko, nyumba iwe katika maeneo hayo niliyoyataja, ahsanten
  2. Keyshia

    Cydia katika iphone 4 imecrash naomba msaada tafadhali

    Wndugu wapendwa naomba sana msaada maana nimechanganyikiwa, nilikuwa na install application kutoka cydia, ikakubali kuingia sasa kila nikitaka kurestart springboard inakatakaa kurestart na application zote zimecrash cwezi fanya chochote naomba msaada tafadhali irudi kama kawaida!
Back
Top Bottom