Search results

  1. N

    Orodha ya majina ya watumishi waliohamishiwa MSM September 2017

    mimi nimepewa bandiko hili na mkurugenzi wangu chalinze
  2. N

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Kamwane, unogage bee
  3. N

    Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    hakika kwani walishavulunda sana miradi mingine, hakukuwa na haja ya tanroad kuwapa mingine
  4. N

    Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    itajengwa kwa miaka miwili nasikia...hizo kilometa 3.2 kwa miaka miwili...mpaka tufike msongora hiyo ni 2020, harafu lazima itakuwa haina mifereji tu
  5. N

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Kiwanja cha makazi kinauzwa Eneo: Mafinga -kinyanambo C Ukubwa: Mita 50x45 Umbali kutoka Moro-Mbeya road: chini ya mita300 Bei: Millioni 5 Ukitaka nusu unapata kwa million 3 Umiriki: Kiwanja ni changu mwenyewe Maji na umeme vipo tayari mita 400 kufika stendi ya daladala
  6. N

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    mkuu hupatikani whatsapp......estimate ya kupima 15mx18m kitunda?
  7. N

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Mpira kwa wanandoa haijakaa vizur lkn, we unaonaje...mkipalamiana jikon au bafuni au knye korido (if u know wat i mean) inakuwa shida kuzitafuta hizo kondom pia unakuwa kama upo na mchepuko tu
  8. N

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Hapana haileti madhara haya...madhara machache kwa baadhi ya watu ni ya kihormonal tu
  9. N

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    umemaliza yote...mimi sitii neno lingine hapo
  10. N

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Elimu ya uzazi wa mpango bado haijawafikia vijana wengi sana hasa tanzania, wengi wao hudhani labda matumizi ya dawa na njia za uzazi wa mpango ni kwa ajili ya malaya, watu waliokwisha zaa na kadhalika. lakini hii sio kweli kwani njia hizi ni nzuri kwa rika zote yaani vijana na watu wazima ambao...
Back
Top Bottom