Search results

  1. M

    Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Hakuna ambacho Simba anaweza kufanya kuwarejeshea furaha mashabiki wake. Wajipange wafanye vzr next season. Mengine hayana kiki
  2. M

    Israeli: Taifa teule

    Kwahiyo Wapalestina walitoka wapi?
  3. M

    Adebayor: Watanzania mpo tayari?

    Mmmmmh tuwe waungwana jamani
  4. M

    Leo kuna hamasa kubwa sana kwa Mashariki wa Simba

    Leo mashabiki wa Simba hasa mitandaoni wanaonekana kuwa na matumaini kibao tofauti na wenzao wa Yanga. Sijui ni kwanini.
  5. M

    DTB yaanza kishindo NBC, Ntibazonkiza asaini miaka miwili

    DTB imemaliza ligi chini ya Ihefu. Haina jipya lolote
  6. M

    Yanga yamalizana na Saidoo Ntibazonkiza.

    Timu mbovu....mmmmh haya
  7. M

    Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Muda aliocheza hautoshi ku-draw conclusion kuwa ni mbovu
  8. M

    Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

    Dunia ya sasa tayari imeendelea sana. Si lazima u-trade na kila nchi ili uwe na mustakbali mzuri wa uchumi. Pia kuna namna nyingi za biashara kufanyika ktk hali yoyote ile (ukizingatia kuwa hata wao Russia wanategemewa na mataifa mengi kwa bidhaa zake)
  9. M

    Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Naheshimu mawazo yako bila kujali kiwango chako cha uelewa
  10. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hali imekuwa si hali tena. Sasa ni dhahiri Ukraine hafurahishwi na ushirikiano anaopewa na mabwana zake. Unadhani wapi mambo yameanza kwenda kombo???
  11. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hakuna tena zile story za majeshi ya Uktaine kuyashinda majeshi ya Russia. Naona ni vita ya upande mmoja tu sasa. Pamoja na kupokea misululu ya misaada ya fedha na silaha, Ukraine wameanza kukubali hali ni ngumu. Hata propaganda za West kimyaaaaaa
  12. M

    Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Nimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia). Ofcoz bado hajawa na impact kubwa kama ilivyotarajiwa, lkn naomba wana-Yanga wenzangu tumpe muda zaidi. Atakuja kuwa...
Back
Top Bottom