Search results

  1. S

    Marende declares Kibaki nominations unconstitutional.

    Hili litumike kama masasa/ darasa tosha kwa mama Makinda,lakini cjui kama desa linapanda..yaani hapo kuna kazi kweli-kweli!!! kwani inabidi achague kati ya kumtumikia kaizari au mafisadi
  2. S

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Hii topic naona haina mashiko kabisa,..naona kama ina agenda ya siri,inataka kututoa kwenye mijadala ya maana ya kitaifa na kutupeleka kwenye mambo ya cjui ulisoma chuo gani!!,n.k.ebu tuongeleee yanayohusu muskabali wa nchi yetu kama vile mambo ya ufisadi,katiba mpya, serikali mbovu,uwajibikaji...
  3. S

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Siku zote serilkali za kifisadi huwatumikia mafisadi na huwasahau kabisa wale wanyonge wenye nchi na walio wengi!!!
  4. S

    Makinda kamtukana Jk na atamdhalilisha Pinda!!

    Huyu mama makinda amewekwa pale na mafisadi ili kulinda maslahi ya mafisadi na chama chake,ndiyo maana utamuona ni mtu mwenye jazba wakati wote hata kabla ya kusikia nini mbunge wa upinzani anataka kukisema,na huwa hana hata chembe ya busara kwenye maamuzi yake.kama asipo angaalia basi mwisho wa...
Back
Top Bottom